Picha: Binti abakwa na kuchomekewa miwa sehemu za siri!!

Binadamu wamekuwa kama wanyama. Watu kama hawa wanatakiwa kunyongwa wapotee katika uso wa dunia. Waende kuzimu wakachomwe moto milele
 
Dah, binti mdogo sana jamani, hao watu Mungu awape mateso makali sana zaidi ya huyo mtoto kabla ya kifo chao
 
Mkuu Chakaza sawa inawezekana hao wazito hawakamatiki lakini Vijana hawa wanaofanywa Punda ni watoto wetu/wadogo zetu/marafiki zetu basi tuwaambie WAKATAE kufanywa Punda, WAKATAE kuuziwa madawa. Hii iwe ni kampeni ya kitaifa kama zilivo kampeni nyingine kama za kupima kupima Ukimwi, malaria n.k
Halafu kinachonishangaza hawa vijana wakikamatwa huwa hawawataji wanaowatuma Kwanini?
Ndugu yangu Kivumah, hawawataji kwa vile wanajua hawa jamaa ni wauaji. Ukionyesha dalili za mdomo mrefu utakuja uwawa huko huko selo. Kinacho nishangaza mkuu ni kuwa tunapiga kelele kuwa mpaka mtoto wa nanihii yupo kwenye biashara hii lakini hakuna anayejali wala kutikisika. Hiyo ni kashfa mbaya sana,ingekuwa nchi za wenzetu angejitokeza na kujisafisha au kama kuna ukweli hata baba yake huyo nanihii angeachia ngazi. BUT NOT IN THIS COUNTRY
 
Last edited by a moderator:

Tatizo kwa nchi yetu ni kubwa sana la uuzaji na utumiaji madawa ya kulevya.

Biashara hii inaendeshwa na watu wakubwa wenye vyeo Serikalini, na sisi ni kwamba kuna ile kuleana. Mfano hawa wahusika wangelikuwa nao wanaathirika sidhani kama wangelitumia.

Cha kushangaza zaidi na vijana wameona kama ni mfumo fulani hivi wa kuufuata, eti kijana akiwa TEJA basi ndio wa mjini!!!!!!!!

Wasanii wanajiona eti wasipotumia madawa basi hawei kupanda jukwaani!!!!! Mbona babu zetu waliimba tena nyimbo nzuri tu na hadi leo wametangulia mbele ya haki lakini nyimbo zao zinavuma kulikoni nyimbo zetu zinazoongozwa na madawa ya kulevya jukwaani ambazo zinapwya muda mfupi!!!!!

Nadhani hata hawa wauzaji endapo kama kutakosekana wateja wa kununua sidhani kama wataendelea kuuza biashara ambayo haiuziki.

VIJANA TUBADIRIKE... ACHANA NA MADAWA YA KULEVYA ... JENGA MAISHA YA BAADAYe...

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom