Search results

  1. C

    Nimeupenda Msimamo Wa Slovakia juu ya mzozo wa Ukraini

    Hivi watu wanataka Nato ingie vitani mara ngapi? Tangia mwenzi wa pili mwaka jana Nato iko vitani na Russia imeshindwa kuleta tofauti, Fr, Br, US hawana jipya kwenye hiyo vita walishindwa wangekua nalo wagelileta ili washinde vita, ..... US ina hamu ya kumshinda Russia hata kuliko Ukraini...
  2. C

    China wazindua meli kubwa inayotumia umeme kujiendesha

    Kwani inalingana na ya kwetu ya MV mwanza anao enda kuanza kazi hivi karibuni.
  3. C

    Vijana acheni kuwekeza sana kwenye decorations za duka badala ya stock

    Mkuu acha kuzira tuna rekebishana tu.
  4. C

    Vijana acheni kuwekeza sana kwenye decorations za duka badala ya stock

    Mkuu tofautisha decorating and advertising hivi ni vitu viwili tofauti, kutangaza huduma usio nao kunauua huduma hata zingine ata ulizo nazo.
  5. C

    Vijana acheni kuwekeza sana kwenye decorations za duka badala ya stock

    Decoration au branding ni sehemu ya mtaji mkuu kuna biashara lazima ufanye rebranding kuendena na biashara yako mada yako haija taja biashara ya aina gani isio hitaji decoration kali.....acha ku generalise mkuu.
  6. C

    Namna nilivompata mke wangu wa ndoa

    Huna ajira mkuu unalelewa na mkeo au ?
  7. C

    NMB wagoma kurudisha hati ya nyumba, japo deni lao limeshalipwa lote

    Lengo la benki wanakulazimisha ukope tena kwao hiyo tabia ni kawaida sanaa kwa benki za bongo, wanakopesha ili wakufilisi kwa kushindwa kulipa sasa hapo wakutegemea kama utamaliza, hati utapewa ila baada ya kuisotea .
  8. C

    NMB wagoma kurudisha hati ya nyumba, japo deni lao limeshalipwa lote

    Police ipi ya nchi hi hapana ni shida juu ya shida.
  9. C

    Adhabu ya kujihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja Tanzania ni kifungo cha Miaka 30 Jela

    Hatua nzuri hiyo......ya kupambana na ushoga.
  10. C

    Elimu ya Tanzania siyo bure, CCM someni alama za Nyakati

    Nyie vijana siasa zitawafanya kua vichaa........
  11. C

    Chadema wameamsha mijadala kila ya nchi; CCM haina majibu imekaa kimya upepo upite

    Siasa za mijadala hufanya kazi kwenye nchi ya Wanainchi wasomi wenye kipato cha kati sio nchi hi, ya kwetu.
  12. C

    wachina japo kuwa na teknolojia kubwa na elimu ila mapenzi yao yapo kwa wazungu kwenye bidhaa zao zote.

    Huo utafiti umeufanyia wapi au unahisi tu?...........wachina hupenda kuiga bidhaa mpya kwa kujifanya wanavinunua ili waweze kuvitegeneza pia.
  13. C

    Wahadhiri wa vyuo vya Bongo lecture zote hutumia Kiswahili kwa 90%, mtihani wanatunga kwa Kiingereza tena cha misamiati mikali

    Mkuu kujua hali ya vyuo vya Tanzania sio lazima ibopitie vyote hata kukutana na wanafumzi walio pitia hivyo vyuo inatosha kujua hali ya hivyo vyuo......
  14. C

    Hotuba Hii ya Hayati Rais Magufuli imenitoa Machozi

    Mungu amueke mahara anapo sitahiri......
  15. C

    Naanza kupata hofu na stress sana, nina miaka 32 na familia haitaki nioe mwanamke mwenye mtoto

    Kijana kosea yote ila usioe singo maza utachukia ndoa bure.......hao wa singo maza wana kila aina ya visirani.
  16. C

    Naanza kupata hofu na stress sana, nina miaka 32 na familia haitaki nioe mwanamke mwenye mtoto

    Kipato cha kati ndo shilling ngapi kwa mwezi au wastani kwa siku
  17. C

    Hayati Nyerere aliwajengea Watanzania uoga?

    Tuna elimu mbovu isio wapa raia kujiamini.
Back
Top Bottom