Pole zao waathirika,Hi sekta ya elimu viongozi husika ni wanyanyasaji no 1.Huu uthubutu wa kukatisha ndoto za watu kwa issue za kijinga sijui utaisha lini? Haya mambo yamezidi kuanzia mashuleni mpaka vyuoni.yaani kila mtu anataka kuonyesha umuhimu wake kihivyo
Ni moja ya majanga yanayo wakumba wanafunzi. Mafataki huusika zaidi,haijalishi rangi zao, Uduni wa elimu ya jinsia haswa kwa watoto kama huyo,Pia mtoto kukosa hofu ya kuanza mahusiano,Tamaa kwa wote mtenda na mtendwa. Enyi mafataki kumbuka unacho mfanyia huyo mtoto...
Nataka mchango kwa matair_ walio soma shule za ma_aira kama wewe.
Yani hapo ndo umehangaika mpaka basi afu ndo umepata hizo kasoro? Usiwe ***** nina wasiwasi na uelewa wako.kibarua ulicho jipa mpaka memde wanakuonea uvivu. Si kila king'aacho ni dhahabu vingine chupa man,usije toa kamasi kwa...
Naombeni kwa anayejua au aliyesoma Uganda anisaidie jinsi ya kupata shule a level,au hata kama anaweza kunikonekti na mtu anayeweza nisaidia,NAOMBENI MSAADA HUYU KIJANA AKASOME
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.