Search results

  1. M

    Mbeya vs Simba: Leo tena maigizo yanaendelea!

    Heshima kwenu wakuu. Kama tunavyojua wote, Spika wa Bunge Tulia Ackson ni mwanachama na shabiki lia lia wa Simba Sports Club.Mh Tulia pia ni mbunge wa Mbeya mjini na ni mlezi na mafadhili wa Mbeya City FC lakini mapenzi yake yamelalia zaidi kwa Simba kuliko Mbeya City.Hivyo basi mechi ya leo ni...
  2. M

    Tusijidanganye hukuna timu yoyote ya Tanzania ikiwepo Simba yenye mafanikio kimataifa

    Nafuatilia mjadala wa kijinga unaoendelea kwamba eti kwa nini Yanga inafeli kimataifa wakati Simba inafanikiwa! Ili timu iwe imefanikiwa katika mashindano ni lazima ichukue ubingwa na si vinginevyo kwa hiyo timu zenye mafanikio Afrika ni Al Ahly,Zamalek,Esperance,Raja Casablank,TP...
  3. M

    Uchaguzi 2025 Watanzania tupige kura 5

    Heshima kwenu wakuu! Kama wengi tunavyojua watanzania tunatarajia kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 na uchaguzi mkuu mwaka 2025. Kwa kujifunza kutokana na uchaguzi mkuu uliomalizika nchini Kenya hivi karibuni ni wakati sasa kwa Tanzania kuendesha uchaguzi wa serikali za mitaa...
  4. M

    Kitanzi cha gawio

    Rais Samia Suluhu Hassan amefichua Siri iliyokuwa imefichika kuhusu gawio kwa serikali yaliyokuwa yakitolewa na baadhi ya mashirika na taasisi za umma huku yakiwa yamepata hasara. Mkuu huyo wa nchi amesema viongozi wa mashirika hayo walikuwa wakikopa fedha benki na kupeleka gawio serikalini ili...
  5. M

    Demokrasia: CCM itaacha lini utamaduni wa Rais kuwa Mwenyekiti wa Chama?

    Kwa muda mrefu Chama cha Mapinduzi kimeendeleza utamaduni wake wa kuminya demokrasia ndani ya chama hicho kwa kuwanyima wanachama wake wanaotaka kugombea nafasi ya mwenyekiti wa chama Taifa na kulazimisha Rais aliyeko madarakani agombee nafasi hiyo kwa kupambana na 'kivuli'. Mbaya zaidi wakati...
  6. M

    Angalizo: Makonda akiendeleza siasa kwenye maandalizi ya Taifa Stars atawagawa watanzania

    Heshima kwenu wanajamvi. Natoa tahadhari kwa TFF na watanzania kwa ujumla kuwa makini na propaganda za kisiasa zinazofanywa na mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda kila anapozungumzia maandalizi ya mchezo wa Taifa Stars dhididi ya Uganda. Makonda anatumia nafasi aliyopewa ya mwenyekiti wa kamati...
  7. M

    Kangi Lugola amemgwaya Zitto Kabwe?

    Hivi karibuni waziri wa mambo ya ndani Kangi Lugola alitoa tamko la kumtaka mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe ajisalimishe kwa RPC wa Lindi ndani ya siku mbili la sivyo atamuagiza mkuu wa jeshi la Polisi IGP Simon Sirro amtie mbaroni na kumfikisha mkoani Lindi kujibu tuhuma zinazomkabili. Cha...
  8. M

    Tetesi: Tume ya uchaguzi haina fedha za kuendesha uchaguzi mdogo wa madiwani kwenye kata zilizo wazi

    Heshima kwenu wakuu. Ni muda mrefu umepita tangu madiwani wa kata katika halmashauri mbalimbali nchini kujiuzulu udiwani na kujiunga na ccm ili 'kuunga mkono' juhudi za rais Magufuli.Aidha kuna madiwani ambao wamefariki na wengine waliokosa sifa za kuwa madiwani kutokana na sababu mbalimbali...
  9. M

    Siku alizopewa Lissu kuomba radhi zimeisha, Cyprian Musiba ameshafungua kesi?

    Heshima kwenu wanajamvi. Hivi karibuni kada wa chama cha mapinduzi alimtaka mbunge wa singida kaskazini mh Tundu Lissu kufuta kauli yake kwamba Serikali ya Tanzania ilitaka kumuua na kwamba Tanzania siyo mahali salama pa kuishi. Ndugu Musiba alimtaka Tundu Lissu kuiomba radhi serikali ya...
  10. M

    Mwaka unaisha hakuna dalili ya sh 50 milioni kila kijiji!

    Tuliambiwa tuunde vikundi vya ujasiriamali na miradi ya uzalishaji ili tupatiwe fedha za mitaji zitakazotokana na sh million 50 kwa kila kijiji zitakazotolewa na serikali ya awamu ya tano.Sasa ni mwaka wa pili serikali hii iko madarakani hatuoni dalili za fedha hizo kutolewa,je ahadi hiyo...
  11. M

    Elections 2015 CCM kumtumia Dr. Shika kwenye kampeni ni aibu kubwa!

    Dr Shika ni tapeli aliyeharibu mnada halali wa kuuza mali ya fisadi Lugumi mkwepa kodi aliyeikosesha serikali mapato. Tapeli huyu ambaye alipaswa kuwa Segerea, kupanda jukwaani kumnadi mgombea udiwani wa CCM ni aibu kubwa kwa chama tawala na inaonesha ni jinsi gani chama hicho kina ukaribu na...
  12. M

    Wabunge 8 na madiwani 2 wa CUF waliofukuzwa, Warudishiwa Uanachama hadi kesi ya Msingi itakapotolewa Uamuzi na Mahakama

    Kuna taarifa kwamba wabunge wa viti maalumu waliofutiwa uanachama wa CUF na Lipumba wameshinda pingamizi lao mahakamani na mahakama imeamuru warejeshewe uanachama wao na ubunge.Kwa sababu hiyo wabunge wa Lipumba itabidi wakatafute kazi nyingine ya kufanya. ====== WABUNGE CUF WASHINDA MAOMBI YA...
  13. M

    CCM imetekwa na CHADEMA?

    Kwa hali inavyoendelea ndani ya chama cha mapinduzi CCM ni kama vile wanaccm halisi hawathaminiwi tena bali wanachama wanaohamia kutoka chadema ndiyo wanapewa umuhimu. Kitendo cha CCM kuwakata wanachama wake walioshinda kura za maoni kwenye uchaguzi mdogo wa madiwani kwenye kata moja huko Iringa...
  14. M

    Uchaguzi CCM Moshi Mjini, Hai na Siha: CHADEMA yaapa kurejesha watu wao

    Chama cha demokrasia na maendeleo kimesema licha ya kuenguliwa kwa wagombea wa nafasi ya wenyeviti wa CCM katika wilaya za Moshi Mjini, Hai na Siha, bado kina idadi kubwa ya wafuasi wao ndani ya CCM na watahakikisha wanapeta katika uchaguzi huo kwa lengo maalumu.
  15. M

    Tathmini ifanyike meza za bungeni.

    Heshima mbele wakuu. Tabia ya wabunge wa CCM kuunga mkono kila kitu hata kama hakuna tija na kuleta madhara kwa Taifa iangaliwe kwa hicho la tatu. Kibaya zaidi uungaji huo mkono wa kila kitu hata chenye madhara huambatana na kugonga meza kwa nguvu huku wakipiga mayowe kama wehu kitendo ambacho...
  16. M

    Chadema yabomoa ngome ya CCM chuo kikuu cha ushirika Moshi.

    Kwa miaka mingi serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha ushirika Moshi imekuwa ikiongozwa na CCM miaka na miaka kabla hata ya kina Bashite lakini katika uchaguzi uliofanyika majuzi makamanda wa chadema walitwaa uongozi katika nafasi za urais,makamu wa rais, waziri mkuu na spika wa bunge.Pongezi...
  17. M

    CCM yagaragazwa vibaya na CHADEMA uchaguzi wa Rais wa serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha Mwenge.

    Katika uchaguzi huo mgombea anayeungwa mkono na chadema Rainford Manyama alipata kura 1214 na kumshinda mgombea anayeungwa mkono na ccm aliyeangukia pua kwa kupata kura 582. Katika uchaguzi huo uliokuwa na mbwembwe za kila aina mgombea wa CCM alishindwa licha ya kupigiwa kampeni na viongozi wa...
  18. M

    CCM huenda ikapoteza fursa ya kuongoza kambi ya upinzani 2020

    Kama inavyotarajiwa na watanzania wengi na hata dunia mzima vyama vya upinzani kupitia UKAWA vitashinda uchaguzi MKUU wa rais na wabunge mwaka 2020 na kupelekea ccm kuwa chama kikuu cha upinzani. Hata hivyo ccm inakabiliwa na hatari ya kupoteza nafasi hiyo kwa chama cha ACT ambacho kimejipanga...
  19. M

    Kijiji cha Kolomije kinaongozwa na CHADEMA

    Kijiji cha kolomije kilichojipatia umaarufu katika siku za hivi karibuni kinaongozwa na serikali ya kijiji chini ya CHADEMA. Mwenyekiti wake anatokana na CHADEMA, kati ya vitongoji sita CHADEMA inaongoza 5 na miongoni mwa wajumbe wa serikali ya kijiji CHADEMA inao 15 CCM 10.Bashite ajipange sana...
  20. M

    Bombadier zimeshaanza kazi?

    Heshima mbele wakuu. Naomba kufahamishwa kama zile ndege mbili 'mpya' zilizonunuliwa na serikali ya Rais Magufuli kwa ajili ya shirika la ndege la taifa ATCL zimeshaanza kazi. Nauliza hivi kwa sababu sijasikia ATCL wakijitangaza kama wanavyofanya fastjet na Precision Air kwani wote tunajua...
Back
Top Bottom