Search results

  1. Fund

    Umepangiwa chuo kipi na Course program ipi...?

    Njombe driving school and mechanics
  2. Fund

    St johns university hapa!!!

    mnapata wapi selection post?
  3. Fund

    Matarajio ya mzazi anapomsomesha mtoto ni yapi hasa?

    POle sana Mkuu,but jambo moja ni kwamba,tafuta pesa umfungulie biashara ili awe anapata pesa humo,hayo ni ya kawaida mkuu
  4. Fund

    Anataka kuzaa naye tu mtoto hatamuhusu baba.

    Ndoa haijaribiwi,jambo dogo na utamu wa ngono wa mda mdogo na siku moja,utakuletea matatizo maisha yajo na vizazi vayko vyote vitakavyo fwata.mwambie asijaribu na asifikirie,
  5. Fund

    Awamu ya tatu ya mgomo wa madaktari 23 June, 2012

    Kweli Mkuu,maana ,walijadiliana pasipo kuweka wazi ni yapi ambayo walikuwa wamaeyaongea,kwahiyo ni vema wakatuambia walikubliana mamabo gani na wakuu wa nchi,alafu tujue tunawaunga mkono au lah!
  6. Fund

    Posho za Wabunge na Maisha ya Dodoma

    William,Pole,,,.Mi nipo Dodoma Na nina zifahamu nyumba nyingi tuh za wageni,kama ulishindwa kutafuta nyumba za wageni ,usisingizie gharama kubwa,hilo halipo Mkuu,Hivi unavyo kuwa Mbunge hutakiwi kuishi Maisha ya Mtanzania anavyo ishi?Serikali ilijenga nyumba Miatatu eneo la kisasa ili wabunge...
  7. Fund

    jipatie maujanja kuwa computer hacker

    Acha chenga,kichwa cha habari kingine alafu unaandika mengine,njoo kwangu nikufundishe hyo hacking
  8. Fund

    Ni makosa makubwa kushinikiza Serikali - Dk Benson Bana

    Ana tutishia kwa Uu Dr?
  9. Fund

    Msaada wa kupima DNA

    Hapana hikupasuka ,nimeng'ang'aniwa kuwa mtoto ni wangu,ni hivi anatarajia kutimba kumleta huyo kid
  10. Fund

    Msaada wa kupima DNA

    Habari wan JF,miaka ya nyuma niliwahi kulala na binti mmoja ,na tulitumia kondom,ukitazam akwa muda ambao tulikutana nae kimwili ulikuwa mwezi wa pili,hapo hatukuonana tena,nikishangaa mwezi wa tano nikipigiwa cm nakuambiwa hazion siku zake,nikamuuliza tangu lini akasema tangu mwezi wa...
  11. Fund

    Lusinde ajitetea, asema alipitiwa na jazba; Alaumu siasa za kampeni

    Nimemsikiliza tangu mwanzo lakini hadi kufikia hatua ya kuomba msamaha ni baada ya kuulizwa anajisikiaje na hiyo hali,?huombi hata msamaha,katika uharisia hakuwa na nia y akuomba msamaha.
  12. Fund

    Hivi ndivyo ardhi ilivyouzwa na inavyouzwa kwa wawekezaji huko Mpanda

    ndugu inauma sana,maombi kwa Mungu taifa letu likombolewe
  13. Fund

    Kisa cha binti mzinifu na kauli za viongozi wa CCM

    Tatizo ni fikra hasi zilizopo kwa wananchi zikichangiwa na ufinyu waelimu ya Uraia,ila siku itafika ambayo mambo yatakuja kubadirika na nchi itakuwa ni mpya
  14. Fund

    Skendo ya ngono yatikisa kanisa katoliki..

    kumbe gazeti la udaku
  15. Fund

    Umewahi kujiuliza baada ya miaka mitano tangu sasa nchi itakuaje?

    Wana JF,mwenzenu nimetafakari nimekosa jibu,maana vyuo ni vingi mno na wengi wanazidi kusoma,sasa wakimaliza hizo elimu,wapi watakwenda?Maana zamani vyo vilikuw avinahesabika ,,,
  16. Fund

    Migiro Kuigharimu Tanzania

    sijakupata mkuu Tuntemeke ameingiaje hapo?
  17. Fund

    Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

    Sikuzote lifanyikalo gizani !hounyeshwa hadharani tu,nazidi kuingalia hiyo muvi.
  18. Fund

    Is She Beautiful?

    unaonekana umevutiwa na mfumo wa mavazi waliyo ya vaa!!!!!!!!!kwa mtaji huo ngoma haitakwisha tz
  19. Fund

    Original komedy kwishiney

    Hawa jamaa mbona walikuwa ni wazuri katika comed,sema makosa ni hayo ya kumkashifu Mengi,Lakini mtumishi Masanja naamini hatapotea kutokana na karama yake
Back
Top Bottom