Search results

  1. M

    Polisi Mbeya -Tunduma wapora fedha kwa dereva mbele ya TAKUKURU

    Ni polisi wa speed waliopo eneo la senjele ya pili barabara ya Mby-Tunduma leo muda wa saa tano asubuhi wameamua kupora fedha kwa kondakta wa gari abiria inayotokea mbeya muda huu bila aibu. huu baada
  2. M

    Nape: CHADEMA wamepewa fedha na wazungu kuvuruga mchakato wa katiba

    Mara nyingi fikra za mtu aliyemo kwenye box ,hutegemea ukubwa wa box alilomo. hayo ndiyo mawazo ya box alilomo Nape na msimlaum kwa lololte huo ndio uwezo wake ktk kuingamiza ccm na vilevile mjue madhara ya kitu cha kupewa bure bila jasho hakisaminiki na mpokeaji cku zote na ndiyo maana...
  3. M

    Siri za Mwigulu Nchemba kutengeneza kesi feki dhidi ya Dr Kitila Mkumbo na Mwita M. waitara zavuja

    Madaktari wajitahidi kutumia taaluma zao kufanya uchunguzi wa kiafya wa shetani,shetani mwenye sura inayofanana na binadamu na mpaka sasa kuna binadamu wanaojua kuwa sifa ya ubinadamu na utu haipo ndo maana anabakiwa na sifa moja tu ya ushetani,Pia wale wanaomwamini MUNGU km mimi wajitahidi...
  4. M

    USAHIHI: Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na kujitenga na ziara ya viongozi wakuu

    Kamanda Zito sio mchanga wa siasa kiasi kwamba, wanaojua siasa ni nini waamini kuwa Mh. Zito haelewani na viongozi wenzie mbona hakuna cku amewahi kuchangia mambo ambayo yapo kwenye ilani ya chama kingine ktk hotuba zake na uwakilishi wake kwa wananchi ni wa Ilani ya CDM tu . Tunahitaji watu...
  5. M

    Mwanasiasa KITUKO KULIKO WOTE, Huyu hapa

    Naomba kuweka namba 15 kuwa ndo namba 1
  6. M

    MUHIMU: Tuma maoni yako ya Rasimu ya Katiba Mpya, Mabaraza ya CHADEMA

    Watanzania wenzangu nami pia napenda kuwaunga mkono CHADEMA kwa kuviona vipengele muhimu kwa maslahi ya taifa letu . pendekezo langu ni moja tu ktk mapendekezo yote ya baraza la katiba la chadema ambalo ni juu ya umri wa mgombea ubunge uaanzie miaka 21 na si 18 km ilivopendekezwa na baraza za...
  7. M

    Ukweli kuhusu Mtela Mwampamba

    Napenda kuwapa ccm pole kubwa , kwani wamepata mwalimu ambae hata kutofautisha taaluma na uzoefu au sifa za ziada hajui sasa hizo hahari za chama chake atazitoaje km haitakuwa ni Umakamba kutoa taarifa hata ambazo sio za chama anaenda kwenye vyombo vya habari na mimi naamini ccm hawawezi...
  8. M

    Oparetion ya vua gamba vaa gwanda yaitikisa wilaya mbozi

    Habari wanajf,ni harakati za vua gamba vaa gwanda zinazo endelea katika vijiji vya wilaya ya mbozi mashariki ,za itikisa ccm ktk wilaya hiyo kiasi cha kuanza kutapatapa na hasa kutokana na diwani mstaafu aliyejiunga na chadema katika mkutano wa hadhara uliofanyika tar 18/5/2012 ktk kata ya...
  9. M

    Kijana aliyeisambaratisha CCM jimbo la Mbozi Magharibi, ahamishia majembe Mbozi Mashariki

    mzee haamini kupatakadi ya cdm tawi jipya sakamwelauchaguzi tawi la sakamwelakamanda fadhili akabizi viongozi tawi jipya katiba na kadi wote wamehama ccm 2-5-2012 samahani kuna makosa ya kiufundi up2date ipo chinitawi la ng'amba {majii ya moto ]wanachama wapya 30-5-2012hawatitaki tena ccm ng'mba...
  10. M

    Kijana aliyeisambaratisha CCM jimbo la Mbozi Magharibi, ahamishia majembe Mbozi Mashariki

    Habari wana jf, kama mnakumbuka kuna thread niliposit tar.29/4/2012 juu ya ziara ya Fadhili s.mwaya kuimarisha chama na kufungua matawi ktk vijiji 7 vya kata ya ihanda ,iliyo anza rasmi tar.30/4/2012 kwa kuanza na kijij cha sumbaluwela amefungua matawi 3 na kuvuna wanachama wapya 60, yaani tawi...
  11. M

    Kijana aliyeisambaratisha CCM jimbo la Mbozi Magharibi, ahamishia majembe Mbozi Mashariki

    Mkuu bila shaka uko sahih, Anaitwa Fadhili Mwaya ,kamanda huyo hajawahi kujificha
  12. M

    Kijana aliyeisambaratisha CCM jimbo la Mbozi Magharibi, ahamishia majembe Mbozi Mashariki

    Kijana huyo ataanza kazi rasmi kesho tar.30-4 ataendesha operation cku 5 mfululizo ktk vijij 7 vya kata ya ihanda .Kihistoria uchaguzi wa octoba 2010 ni kati ya wapambanaji waliokuwa mstar wa mbele kusaidiana na Silinde kuisambaratisha ccm.kijana huyo machachar ameamua akawabadilishe kutoka ccm...
  13. M

    mzee wa harambeaka.el kutinga tunduma kurejesha chenji za richmond

    kuna tetesi za mr. el kuja kurejesha chenji zetu tar.30/4/2012 kupitia harambe ktk kanisa la kilokole tunduma EAGT linalo hudumiwa na pastor Swata eneo la majengo tunduma
  14. M

    naomba kukaribishwa

    Automatically mi ni unt-fisadi ,utanijua kwa hoja !
  15. M

    naomba kukaribishwa

    ni muda mrefu nafuatilia hoja za member wa jf ,nimeshawishika sana kwani ni za kujenga watu kifikra na namna mbalimbali katika jamii. Therefore i humbly asking for a membership in ideas and views.thanx !
Back
Top Bottom