naomba kukaribishwa

Msf

Member
Nov 24, 2011
17
7
ni muda mrefu nafuatilia hoja za member wa jf ,nimeshawishika sana kwani ni za kujenga watu kifikra na namna mbalimbali katika jamii.

Therefore i humbly asking for a membership in ideas and views.thanx !
 
1. karibu sana ingawa hapa siyo sehemu yake,
2. ungesema kabisa wewe ni gamba au ant-fisadi..................... ila tutawatambua kwa matendo
 
ni muda mrefu nafuatilia hoja za member wa jf ,nimeshawishika sana kwani ni za kujenga watu kifikra na namna mbalimbali katika jamii.

Therefore i humbly asking for a membership in ideas and views.thanx !

mh umeanza na kizungu siyo ? I say your most welcome hope you are sane not insane na pia hujatoka shule za kata mawazo ya akina Ngoda , MS, FF na upupu wenzake
 
Back
Top Bottom