Aisee! Kumbe siko peke yangu nnaye wajua. Hawana aibu kabisa. Katikati ya watu utasikia wanasema "ngoja niende kukojoa"badala ya kusema "naenda uwani" au kama kama ni kwenye Bus utasikia wakimwiita konda bila aibu "wee konda, sismamisha gari tukakojoe".Hawana aibu kabisa. Mijitu mzima yanaendaje...
Siku zote ni njema kwa Mungu kwa sababu Mungu yuko siku zote. Sababu ya kanisa kupanga ibada kuu ya wiki infantile siku ya jumapili pamoja na sababu zilizotangulia kusemwa na wengine ni kwa sababu Yesu ambaye ndiye kiini cha Imani yetu alifufuka siku hiyo asubuhi na mapema. Neno la Mungu...
AF409T1VZUU Imethibitishwa. Tsh90,000.00 imetumwa kwa SELCOM PAY kwenye akaunti namba 60687845 tarehe 4/6/23 saa 12:50 PM Ada Jumla Tsh2,000.00 (M-Pesa Ada Tsh2,000.00 + TOZO ya Serikali Tsh0.00).
Habari.
Muamala huu niliutuma kwa makosa nikiwa mjini Dodoma.
Kusudio ilikuwa ni kumlipa Afroil...
Mimi naungana na la tatu. TUMIA busara kulimaliza hili.
1. Ama mshauri mkea amwambie wazi kuwa atakwambia mambo yote na jumbe zote alizomkutumia kwenye simu au.
2. atakuunganisha naye ili akweleze ana kwa ana.
3. Amwambie kuwa atakwambia wewe ili muongozane hadi kwa mke wake ili mkayajadili...
Kwa vile umesema haziingii sim card hiyo ndiyo kasoro kubwa pamojan na sifa nyingi ulizozisema. Hongera nyingi kwa namna ulivo zizelezea kwa hakika unastahili kuwa msemaji wao.
Mashine hizi ni automatic kutuma report ikifika saa ya kutuma haikuruhusu kutoa riport hadi utume z report. Kwa mfano kama ukifunga duka jumamosi na ufungue jumatatu. Basi ukiiwasha tu hutoa z report yenyewe.
Nadhani hili ni tatizo tu kwenye mfumo wao huko tra.
Sisi tunazo huku unskokuita mikoani na tunadunda nazo ile mbaya. Spea ni kama kawaida ya magari yote. Ukiikosa mji huu unaulizia mji mwingine wa karibu. Ukikosa huko unapiga simu Dar unatumiwa kwa Bus. Ni wewe tu.
Hivi gari ndiyo pasua kichwa au vivywa vyetu ndiyo vimepasuka?
Gari unainunua nzima hujifunzi kujua gari inatataka kutunzwaje, unaendesha gari bila kuifahsmu vizuri, kukiwa na tatizo dogo badala la kuuliza mafundi waliobobea wa gari hizo, wee unauliza watu wa jamii forum. Btother, miongoni mwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.