Search results

  1. Mr Chromium

    Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

    Kama hiyo akili tu ya kujijibu hayo maswali huna basi hukufaa kuingia kwene huu uzi!! Nenda facebook kwa watoto wenzio
  2. Mr Chromium

    Why Rwanda refugees/Asylum seeker Go to malawi 18000Km (thousands miles) and Not in Tanzania &Kenya?

    Hii sababu kama ni kweli basi inaweza ikawa ni moja ya sababu kubwa
  3. Mr Chromium

    Je, Ethiopia kujiunga Jumuiya ya Afrika Mashariki kutaharibu au kuimarisha jumuiya hiyo?

    Ethiopia ni masikini kama tu utailinganisha na population yake! kwa maana wana watu wengi kuliko wanaoweza kuwa mudu lakini kwene uchumi wanau uchumi mkubwa kuliko nchi yyte ya Africa mashariki
  4. Mr Chromium

    Je, Ethiopia kujiunga Jumuiya ya Afrika Mashariki kutaharibu au kuimarisha jumuiya hiyo?

    DRC pia ina population ya watu milion 100 lakini hakuna namna yyote Tz imefaidika na hilo
  5. Mr Chromium

    Je, Ethiopia kujiunga Jumuiya ya Afrika Mashariki kutaharibu au kuimarisha jumuiya hiyo?

    Ilikua hivo lakin sasa inaenda kuwa historia Mozambique kuna magaidi Congo vita ina miaka 30 Hivo na bado Tanzania tunapakana na ukanda wa magaidi msumbiji hivo hatupo salama sana
  6. Mr Chromium

    Nchi hatari zaid kwa binadamu kuishi duniani! China, Iran & Saudi arabia

    Hivi vitu vizuri kuviongea kama wahusika sio mwanao au ndugu yako
  7. Mr Chromium

    Je, Ethiopia kujiunga Jumuiya ya Afrika Mashariki kutaharibu au kuimarisha jumuiya hiyo?

    Hao wahamiaji haramu ndio watafaidi nchi haifaidiki na wahamiaji haramu
Back
Top Bottom