Search results

  1. D

    Radio Station name

    WanaJamvi, Poleni na shughuli zenu za kimaisha. Niko kwenye hatua za mwisho kufungua kituo cha radio, hivyo naomba mawazo yenu wanajamvi kuhusu jina zuri la kutumia. Nitashukuru kwa mawazo yenu tafadhali.
  2. D

    Nitapata wapi COMPUTER USED za BEI NAFUU

    Wadau naomba mnisaidie wapi naweza pata used computers za bei ya chini lakini in good condition, nataka kufungua internet cafe hapo Dodoma. Nataka nianze na kompyuta 10 hivi, i can afford to pay 150,000@. plz help.
  3. D

    Nataka kufanya hii Biashara ina Maslahi?

    Ndg wana jamvi habari zenu, Natamani sana kufanya hii biashara ya Uwakala (agent) wa M-pesa, tigo pesa, Airtel money, ikibidi nianze any time sema sina uhakika ufuatao hapo chini, NAOMBA MWENYE UFAHAMU ANIJUZE KWA UFASAHA. 1. Je INALIPA? 2. Je nitajuaje napata faida nayo 3. Nitapataje TIN no...
  4. D

    Nahitaji ''CONTAINER''

    Ndg wapendwa wa JF habari zenu. Jamani nahitaji container la futi 20 au 40 la mwaka wowote ili mradi bado ni zima au linaweza kumudu shughuli za biashara kama ya duka. Naomba mwenye nalo au anaye fahamu wapi nitalipata au kuniuzia kwa BEI NAFUU. Nitashukuru sana kwa msaada wenu wana jf.
  5. D

    Nisaidieni jamani MAMA yangu anaumwa

    Habari zenu wana JF, Naomba mnisaidie DAWA itakayo msaidia Mama yangu, vipimo vinaonesha SPLEEN yake is enlarged to 12.6cm na Daktari ameniambia siyo normal na amempa dawa lkn last time nilivyorudi amesema labda afanyiwe operation kitu ambacho Mama hataki kusikia wala kufanya. So nahitaji...
  6. D

    EXIM BANK na recurrent deposit acount

    Heshima yenu ndg wanajf. Nimekuwa nikitafuta benki yenye Fixed Deposit A/C yenye RATE nzuri, na wakati nikiwa EXIM Bank naongea nao kuhusu rates zao ya kwamba ni higher than other banks ambazo nimepita kuangalia, though i told them am not yet convinced to deposit my money for 2 yrz then just...
  7. D

    Biashara ya mifugo (ng'ombe, mbuzi, kondoo n.k)

    Ndg wana jf hope sote tu wa afya njema baada ya hekaheka za wiki nzima. Naomba mwenye EXPERIENCE ya kutosha na hii biashara ya Mifugo hasahasa Ng'ombe kuwaleta Dar kutoka Mikoani kama inalipa coz nimewahi enda pale PUGU Mnadani wakati wa Christmas angalau nijitafutie Mbuzi wa kumtafuna na...
  8. D

    Biashara ya mahindi

    Wana JF kwanza nawasalimuni kwa heshima kubwa sana. Nimekuwa nikisoma maoni ya wachangiaji tofauti na nimegundua JF ni Online University there are real great thinkers (i admit that). Anyway...... Naomba wanajamii mnishauri kama Biashara ya kutoa nafaka hasa MAHINDI toka mikoani kuleta Dar kama...
  9. D

    Biashara ya Mahindi toka mikoani inalipa?

    Wana JF kwanza nawasalimuni kwa heshima kubwa sana. Nimekuwa nikisoma maoni ya wachangiaji tofauti na nimegundua JF ni Online University there are real great thinkers (i admit that). Anyway...... Naomba wanajamii mnishauri kama Biashara ya kutoa nafaka hasa MAHINDI toka mikoani kuleta Dar kama...
Back
Top Bottom