Search results

  1. D

    Sekretarieti ya ajira kulikoni?

    Tar 14-18 Mei kulikuwa na interview katika fani mbalimbali. Mojawapo zilikuwa za mamlaka ya EPZA watu wameishaitwa waliofuzu usaili huo, lakini cha kushangaza baadhi ya post katika mamlaka hiyo hawajaonyesha watu na hakuna taarifa yoyote. Post hizo ni: 1. Human Resources Manager na 2...
  2. D

    Waziri Mwandosya: Kikwete Angeniacha Nipumzike

    Tuache kejeli na dhihaka, kwanza alianzisha hii thread hajatoa source. Tulichokiona ni picha tu kwenye gazeti la mwananchi na hakuna habari yoyote kuhusu hoja hoja inayozungumziwa. Prof. anaumwa tuwe wa ungwana na tutakuwa hatujamtendea haki tukianza kuzungumzia suala kutotaka kuteuliwa kwake...
  3. D

    Omari Nundu vs Rostam Aziz

    Kwa kweli Nundu kashambuliwa sana na kamati ya miundimbinu. Lakini kama kweli kuna mkono wa Rostam, Serukamba lazima ang'ake kwa sababu ni mfuasi mkubwa wa Rostam. Nilifikiria sana kuwa serukamba kapata wapi ujasiri huo, kumbe kuna mgao wake kapata au ameaidiwa kupata. Sijawahi mkubali Serukamba...
  4. D

    TANESCO: Rationing is back!

    We are great thinkers let us think deeply, kwa maoni yangu mkurugenzi wa TANESCO wanamwonea. Yeye angekuwa ni chanzo cha tatizo ningekubaliana na hatua hiyo ya kukatika mara kwa mara kwa umeme. Namkubali Zitto lakini kwa hili kachemsha. Je, Mhando akienda kushitaki mahakamani kuwa mkataba wake...
  5. D

    Lowassa ajiweka mbali na kampeni Arumeru,ajikita kanisani..

    Lowassa anatafuta umaarufu wa kisiasa kuungwa mkono na vijana pindi akitaka kugombea urais, anajua wazi kuwa wapiga kura wengi ni vijana. Atuambie yeye alipokuwa waziri mkuu alifanya kitu gani kuhusu vijana wasio na ajira, suala la vijana kutokuwa na ajira halijaanza leo ni la muda mrefu...
  6. D

    CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!

    Kama watu wameichoka ccm wadhihirishe kwa kupigia kura chadema katika kila uchaguzi unaofanyika wakianzia na arumeru mashariki.
  7. D

    Ugonjwa wa Mwakyembe: JK abebeshwa zigo!

    Katika gazeti la Tanzani Daima la leo limeandikwa kichwa cha habari kuwa JK abebeshwa lawama kuhusu afya ya Mwakyembe. Katika hali iliopo ni kweli JK anatakiwa kubeba lawama. Inapofikia chombo muhimu cha usalama wa raia kushindwa kufanya uchunguzi dhidi ya madai alioyatoa Mh. Dr. Mwakyembe hata...
  8. D

    Uko wapi mchango wa marais wastaafu?

    Marais wastaafu wanahudumiwa kwa kutumia pesa za walipa kodi wa nchi hii, mambo yanavyoendea ndivyo sivyo tulitegemea wangetoa ushauri au pengine kusema chochote kuhusiana na mgomo wa madaktari au katika jambo lolote gumu linaloikabiri nchi. Kukaa kwao kimya ina maana uwezo wao wa uongozi...
  9. D

    Mgomo wa madaktari

    Rais tumia busara ili ushughulikie madai yao, kadri siku zinavyokwenda ndivyo hali inazidi kuwa mbaya itafikia kipindi itashindikana hata kufanya suluhu na madaktar.
  10. D

    Kuwa na kiongozi wa nchi vuguvugu kunahatarisha amani na maisha ya wanasiasa

    Kwa muda mrefu sana Rais Kikwete amekuwa vuguvugu, kuna wakati anaonyesha kupiga vita ufisadi na mafisadi lakini haonyeshi kuwashughulikia marafiki zake wanaohusishwa na ufisadi. Najiuliza hivi nae ni fisadi? Kitendo hiki kimeleta uadui kati ya wanaopinga ufisadi na wanaohusika na ufisadi. Ndio...
Back
Top Bottom