Mgomo wa madaktari

Determinant

Member
Nov 14, 2011
10
4
Rais tumia busara ili ushughulikie madai yao, kadri siku zinavyokwenda ndivyo hali inazidi kuwa mbaya itafikia kipindi itashindikana hata kufanya suluhu na madaktar.
 
hivi ni nani mnampa huo ushauri?
miaka 6 bado hamjajua mnaongozwa na kiongozi wa namna ipi?

mimi nashauri tukae kimya maana muamuzi wetu atakuwa mungu tu.
 
hivi ni nani mnampa huo ushauri?
miaka 6 bado hamjajua mnaongozwa na kiongozi wa namna ipi?

mimi nashauri tukae kimya maana muamuzi wetu atakuwa Mungu tu.

Kabisa kwa kuwa tumefika mahala tumegota!! Ujanja na wizi wizi wao wawatokea puani!!
 
Hali ni tete sasa mahospitalini....mkuu wa inji tunakuomba busara zako zishike mkondo. toa tamko
 
Back
Top Bottom