Search results

  1. P

    Tetesi: Kumbe TRA bado wanamfuatilia Askofu Kakobe

    Lesson ur shameful face..
  2. P

    Kakobe afunguka tena: Biblia inasema kiongozi akikengeuka ajulishwe

    Kabla ya kufa kakobe utakufa wewe
  3. P

    Kakobe afunguka tena: Biblia inasema kiongozi akikengeuka ajulishwe

    Kama Mungu akiruhusu kifo .. Utakufa kwa wakati wa Mungu. Kwendraaaa,Lissu kala Risasi 21 lakini yupo hai.. Kwendraaaa... Kajiue kwanza wewe.. Mpuuzi wewe ongea kwa hoja
  4. P

    Kakobe afunguka tena: Biblia inasema kiongozi akikengeuka ajulishwe

    Hataki kujipendekeza ili aende Ikulu.. mana kuna wachungaji n baadhi ya watu wanapenda sana kujipendekeza kwa wakubwa ili waende ikulu kunywa chai...
  5. P

    Kakobe afunguka tena: Biblia inasema kiongozi akikengeuka ajulishwe

    Kakobe amemaanisha kwamba Mungu wake ana pesa kuliko Serikali.. kama umechunguza kanisa lake halijaanzia Nje na wala hajawahi kupewa msaada na wazungu.. Huduma yake inategemea msaada kutoka kwa Mungu ambaye pesa, mali ,dhahabu ni mali yake..Ndio maana anajitamba kwamba Yeye ana pesa kuliko...
  6. P

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa DSM amtolea Uvivu Zakaria Kakobe

    Hehee ndugu unajua kiswahili wewe?? Kakobe amesema kwamba atubu hajamwambia atubu kanisani kwake wala hadharani. Kutubu kunaambatana n kujuta n kuacha.. Sio unatubu n kurudia yaleyale.. LUGHA NYEPESI HAIHITAJI HATA KWENDA SHULE...
  7. P

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa DSM amtolea Uvivu Zakaria Kakobe

    Pooole.. unatokwa n povu hadi huruma[emoji23][emoji23]
  8. P

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa DSM amtolea Uvivu Zakaria Kakobe

    Maskini humjui Kakobe wewe . Ana makanisa nchi nzima na yote yana waumini wa kutosha.. hana shida na waumini. Pale anakemea dhambi. Akiona hata mshirika ametenda dhambi ya uasherati anatimua hana double standard. Nenda kanisani kwake uvae tu kwa adabu halafu ukashuhudie chunguza mambo kwanza...
  9. P

    David cameron vs tanzania

    Toka Waziri wa Uingereza kutoa masharti ya misaada kwa nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania kwamba lazima tukubali mambo ya ubaradhuli na usagaji. Mbona mpaka sasa Rais JK hajasema chochote kama Rais wa Ghana alivyothubutu kusema hadharani kwamba hakubaliani na hilo? Je',kwa nchi ya Tanzania...
Back
Top Bottom