Search results

  1. A

    Wasaliti wa chama,wafuasi wao na wanaowaonea huruma

    Tumechoshwa na story za wasaliti wasaliti wasaliti,zito zito zito,mkumbo mkumbo mkubo.if you guys think ur popular,register ur own party,mobilize ur followers na wanao waonea huruma,leave chadema alone.huu mjadala unakolezwa zaidi na vyombo vya habari....country men lets now discuss issues...
  2. A

    Kwa nini aliyekuwa makamu mwenyekiti cdm kajiuzulu baada ya zitto kusimamishwa?

    yeye ndo M2,M1 mkumbo MM zito,M3 mwigamba.kama Zitto ni maharufu why cant he register his own party na akawa mwenyeki,akachagua katibu wake akaput his vision into action.Hana nafasi tena CDM we will alws see him a traitor.
  3. A

    Zitto kung'olewa nafasi ya Naibu Katibu Mkuu CHADEMA

    hata na chaumma watafukuzwa tuuu!ukisha kula nyama ya mtu,utaendea tuuuuu.....Jk
  4. A

    Afande Sele Aingia CHADEMA Rasmi Morogoro

    ni swala la kumshukuru mungu,kwani waTanzania wanaanza kumsikia mwenyezi Mungu mwenyewe,kwani ndo aliyeumba tawala zote,duniani na mbinguni kwa nia njema ya kuongoza wanadamu,wahishi vizuri duniani na baadaye mbinguni.CCM imeasi katika ilo,imetufisadi na kutusababishia mahisha Magumu.Nasasa...
  5. A

    Kanisa lanusurika kuteketea kwa moto Zanzibar asubuhi ya leo...

    breaking news ya asubuhi ya leo kanisa la shalom ministry mkoa wa kusini unguja limechomwa moto na watu wasiojulikana.Hakuna majeruhi wala vifo,hakuna aliyekwisha kamatwa upelelezi unaendelea. source:ITV breaking news/radio one and capital tv,imedhibitishwa na kamanda wa polisi...
  6. A

    Pope Benedict VXI atangaza kuachia ngazi

    Habari za kuaminika ni kwamba Papa Benedict atangaza kujiudhuru ifikapo feb 28 mwaka huu.sababu za kufanya hivyo ni umri mkubwa unaomzuia kutimiza majukumu yake.source cnn
  7. A

    Huyu ndio Habib Mchange

    Yetu macho na maskio,masalia mnatia hasira,mnadhani nyie ni wangapi kwa idadi ya wapnz na wanachama wa cdm?dr.piga mbuzi wasaliti hawa chini,jahazi lisonge
  8. A

    Sumu ya Saanene - swali kwa MASALIA a.k.a PM-7

    Usaliti ndo dhambi ya mwisho katk jeshi,adhabu yake ni kifo,siasa ni tofauti kdg,adhabu yake si kusamehewa ila ni kupigwa exile,kizuizini.kwa ushndani wa sasa wa siasa za tz,huwezi samehe watu hawa,wapigwe chini,warudishe kadi za chama,kimsingi hata ben saanene,huwezi kumuamini,apigwe probation...
  9. A

    Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    kipindi cha jahazi na kibonde wake,hawajasoma habari za kamanda lema,madai yao ni ya kawaida.wanazidi kijitia aibu
  10. A

    CHADEMA NA CUF kwani tatizo ni nini?

    Jana nilienda buguruni nikitafta makamanda wa chadema manually,watu wengine niliouliza hawakuwa na taharifa sahihi kuhusu hao makamanda hivyo wakanielekeza makao makuu ya CUF kwa minajili kwamba hawa upinzani watakuwa wanafahamiana.Safari ya kwa mzee Lipumba ikaanza,moja mbili moja mbili moja...
  11. A

    BAWACHA mnaiangusha CHADEMA!

    ni maoni yenu,mmemuona wasira kwa vile amepata forum ya kuonekana,i think kwenye cdm we have more competent women than she is ukweli ni hawajapewa nafasi.Naungana na wachangiaji wote kwamba bawacha iko hoi nimewai kusema hata mbele ya mwenyeki wetu,Suzane Lyimo kwenye kikao chetu kimoja jimbo la...
  12. A

    Gazeti la "kutoka arusha!"

    ilo gazeti lipo pia online? nasi tulidokoe?
  13. A

    Mwenyekiti UVCCM na mauaji ya Morogoro

    Tamko alitoa Martin Shigella ni moja ya kauli mfu watoazo wanasiasa wasiokuwa na upeo au waliopofushwa na propaganga.Eti------chadema ndo wamempiga risasi kijana Alli,Shigella atueleze,jana kulikuwa na majibishano ya risasi kati ya chadema na Police?mbona police wenyewe hawajasema ilo?uyu...
  14. A

    this is a biasness way of reporting(BBC)

    Nilitakaa kushangaa kama BBC swahili wasingerusha habari za chadema na machafuko Morogoro,kama walinisikia wakarusha,habari yenyewe too bias, eti polisi wasingeruhusu maandamano wakafunga barabara inayotumiwa na wagonjwa na wasiokuwa mashabiki wa chadema,swali je?chadema hawakuwa na haki nahiyo...
  15. A

    Ufahamu na upeo wa baadhi ya wabunge na viongozi Chadema na ubabaishaji wa kisiasa

    kama watanzania wengine una uhuru wa kutoa maoni,ila ujue sio lazima tukubaliane na mawazo yako,mpo na mko wengi wenye mawazo yenu ya hivyo,kwa bahati mbaya tanzania ya leo haiko upande wenu.nawe wajua ukweli ila lazima useme ivyo ili kulinda unachakijua mwenyewe.
  16. A

    chadema imepata sumu ya kali

    habari za kuaminika ni kwamba,msimamo wa chadema kuhusu serikali ambao kimsingi CCM haikubaliani nao ndo kitu wazanzibari wanataka ili kudumisha muungano,kama si kupigilia msumali wa mwisho wa kaburi la CCM chadema inahafiki swala la mafuta kuachwa kwa wazanzibar wenyewe.Kutokana na misimamo...
  17. A

    Mnyika ashinda kesi dhidi yake; Hawa Nghumbi atakiwa kulipa gharama za kesi!

    Shtaka la kwanza: Mnyika alimwita fisadi Nghumbi ktk mkutano wa hadhara kwa kuuza nyumba za UWT limetupiliwa mbali na mahakama!
  18. A

    Mnyika ashinda kesi dhidi yake; Hawa Nghumbi atakiwa kulipa gharama za kesi!

    jamani leten updates?shitaka la kwanza mnyika alimwita Hawa fisadi katika mkutano wa hadhara kwa kuuza nyumba za UWT,imetupiliwa mbali na mahakama
  19. A

    Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi jimbo la Segerea

    kindly kama kuna aliyeko mahakamani plz,mwageni mi breakn news,hakukaliki hapa
Back
Top Bottom