chadema imepata sumu ya kali

anatropia

Member
Sep 27, 2007
23
5
habari za kuaminika ni kwamba,msimamo wa chadema kuhusu serikali ambao kimsingi CCM haikubaliani nao ndo kitu wazanzibari wanataka ili kudumisha muungano,kama si kupigilia msumali wa mwisho wa kaburi la CCM chadema inahafiki swala la mafuta kuachwa kwa wazanzibar wenyewe.Kutokana na misimamo chanya ya chadema yenye maslahi kwa pande zote za muungano ndo muharobaini ya mgogoro wa wazanzibar.Wazanzibari niloongea nao kwa kauli moja wanawasubili makanda wa jeshi la ukombozi Tanzana,Dr Slaa na Mbowe watue zanzibar wawalejeshee shahada za kijani wapatiwe makombati tayali kurejesha zanzibar kundini-ndani ya gwanda na si gamba
 
Hivi na muungano je? Wazanzibari wanataka serikali tatu au hawataki muungano kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa?
 
Kwanza Mafuta kameonekana kati ya Tanga na Pemba kwahiyo itatakiwa Mazungumzo ya Serikali hizo mbili

Upande wa Zanzibar kama mafuta yapo sio ya kibiashara kama ya ndugu zetu Kenya

Kama Chadema itakwenda huko Zanzibar ningependa isijisheke bega kwa bega na huyo Sheikh kwasababu ni Gaidi
 
habari za kuaminika ni kwamba,msimamo wa chadema kuhusu serikali ambao kimsingi CCM haikubaliani nao ndo kitu wazanzibari wanataka ili kudumisha muungano,kama si kupigilia msumali wa mwisho wa kaburi la CCM chadema inahafiki swala la mafuta kuachwa kwa wazanzibar wenyewe.Kutokana na misimamo chanya ya chadema yenye maslahi kwa pande zote za muungano ndo muharobaini ya mgogoro wa wazanzibar.Wazanzibari niloongea nao kwa kauli moja wanawasubili makanda wa jeshi la ukombozi Tanzana,Dr Slaa na Mbowe watue zanzibar wawalejeshee shahada za kijani wapatiwe makombati tayali kurejesha zanzibar kundini-ndani ya gwanda na si gamba

Kilichopo zenji sio mafuta wala muungano, ni udini. Ni kutaka taifa la kiislamu a.k.a maficho ya magaidi. Vijana wanatumika bila wao kujua wanamtumikia nani.
 
Mmmh hapo nina mashaka kidogo,hao jamaa sio wa kuwaamini hata kidogo,kwani wamejawa na udini sana si vinginevyo.
 
Kilichopo zenji sio mafuta wala muungano, ni udini. Ni kutaka taifa la kiislamu a.k.a maficho ya magaidi. Vijana wanatumika bila wao kujua wanamtumikia nani.

....wanalitaka taifa hilo ili wafaidi mafuta yao wenyewe....
 
Back
Top Bottom