Submission ni Friday 6th.
By the way pakajimmy if we are talking of two sides of the same coin the first thing which came on my mind is we have two aspects (sides of the coin) but one situation......
Kama Tanzania tunategemea kilimo kama uti wa mgongo wa uchumi wetu je ni sawa nikasema tunategemea "a paralysed backbone"'???? naombeni msaada wa importance of agricuture in tanzania's economy
Mwenzenu nna tatizo kuhusu maajabu saba ya dunia naombeni msaada....Hivi leo hii maajabu yanahtaji kupigiwa kura? Ni propaganda tu au?Kuna wanaotaka hata ox bow lakes zao ziitwe maajabu kwakua wamepiga kura nyingi....kama kitu ni cha maajabu si kinaoneka kwanini yasiwe hata maajabu 100 ya dunia...
Mi nakumbuka wakati tuko wadogo tukitumwa na bi mkubwa dukani tunatamka ''MAFTATAA" maybe kama kuna innovation iliofanyika apo katikati ila so far nakubaliana kabisa na wanaosema mafuta taa.......
Ifike mahali TIGO wajirekebishe.....tatizo kama hilo mimi lililshanikumba nikakimbia,thou kukimbia tatizo sio kutatua tatizo ila kero zikizidi bora ukimbie tu as shifting cost is almost zero
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.