'''''maajabu saba ya dunia''''''

mamama

Member
Oct 29, 2011
24
3
Mwenzenu nna tatizo kuhusu maajabu saba ya dunia naombeni msaada....Hivi leo hii maajabu yanahtaji kupigiwa kura? Ni propaganda tu au?Kuna wanaotaka hata ox bow lakes zao ziitwe maajabu kwakua wamepiga kura nyingi....kama kitu ni cha maajabu si kinaoneka kwanini yasiwe hata maajabu 100 ya dunia hata bila kura............?????? au kura ndo zinathibitisha uajabu
 
Mkuu nalo neno ilo maana haileti maana basi yawepo hata maajabu 100 ebo!!!!!!!
 
Nakuunga mkono, kiuno na miguu. Maajabu maajabu hilo la kutafuta umaarufu wa mlima Kilimanjaro kwa kura ndio maajabu, mlima wenyewe wameshindwa kuuhifadhi kina mangi wamemaliza misitu kwa kutafuta utajiri. Barafu inayeyuka mlima umebaki kipara bado tunataka uwe maajabu, Kwa nini tusirekebishe hayo mapungufu kwanza mie nimesema.
 
Mwenzenu nna tatizo kuhusu maajabu saba ya dunia naombeni msaada....Hivi leo hii maajabu yanahtaji kupigiwa kura? Ni propaganda tu au?Kuna wanaotaka hata ox bow lakes zao ziitwe maajabu kwakua wamepiga kura nyingi....kama kitu ni cha maajabu si kinaoneka kwanini yasiwe hata maajabu 100 ya dunia hata bila kura............?????? au kura ndo zinathibitisha uajabu

Mkuu hizo hela za sms ni kigogo amejiwekezea ka investment kakiaina
 
Yah kiukweli hakuna haja ya kuwa na maajabu yenye kupigiwa kura maana maajabu ni maajabu tu yani kuna watu wana mtazamo finyu sana kitu ni cha kushangaza ni cha kushangaza tu hakuna additional fictions hapo
 
Back
Top Bottom