Search results

  1. Jaffary

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mshana Jr naku-DM bila mafanikio mkuu
  2. Jaffary

    Jinsi ya kuhamisha Telegram contacts

    Hii nilijaribu haijafanikiwa. Nina contacts 2000 kwenye telegram nataka nizihamishie kwenye phone contact yangu. Hakika atakayeniwezesha kufanikisha donge nono linamhusu
  3. Jaffary

    Jinsi ya kuhamisha Telegram contacts

    Tried but unsuccessful mkuu
  4. Jaffary

    Jinsi ya kuhamisha Telegram contacts

    Wakuu amani iwe kwenu! Nime-stack kidogo. Ninataka kuhamisha contacts zangu zilizo kwenye telegram kuja kwenye simu au kwenye Gmail account yangu. Inafanyika vipi? Nimehangaika pasi na mafanikio. Asante.
  5. Jaffary

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Naam. Ngoja niipakue hapa. Hii ni maalum kwa ajili ya game ya France vs England
  6. Jaffary

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Mwenye kujua link ya live streaming ya hizi mechi tafadhali
  7. Jaffary

    Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

    Mwenye uhitaji wa sehem ya kulala ani-PM
  8. Jaffary

    Naomba kujuzwa jinsi ya kurekebisha taarifa za maombi ya kazi za sensa

    Fanya hivi...ingiza upya taarifa zako kwa usahihi, ila itakubidi sehemu ya namba ya simu, namba ya kidato cha nne, nida na email ubadilishe. Ukishafanikiwa, utaingia-log in ili uhuishe taarifa zako kwa kuziweka kwa usahihi, kwa maana ya ile nida na namba ya kidato cha 4. All the best
  9. Jaffary

    2021 AFCON Special Thread

    Nilifikiri labda ni coach wao lakini ninaangalia profile yake ya kawaida sana. Watakuwa na ligi nzuri. St. George nawakumbuka CECAFA challenge cup sema siku hizi haina mvuto
  10. Jaffary

    2021 AFCON Special Thread

    Ethiopia wana mpira mzuri. Barcelona flani hivi. Unavutia kuangalia
  11. Jaffary

    Je, asiye mwanasheria anaweza kumsaidia mtu asiyeweza kujieleza mahakamani na kumtetea?

    Kazi ya kumwakilisha mtu mahakamani ni ya wakili japo kuna exception flan flan hivi....kwa mfano unaweza kumwakilisha ndugu yako mahakama ya mwanzo, na hata baraza la ardhi la wilaya, mahakama kuu kitengo cha kazi, CMA n.k
  12. Jaffary

    Msaada wa kisheria kuhusu mkataba wa kazi

    Automatic renewal ni kuhuisha mkataba pindi unapoisha. Yaani mkataba wenyewe unajihuisha. Lakini ili hilo lifanyike ni lazima hiyo clause iwepo ndani ya mkataba na iseme hivyo explicitly. Na hiyo automatic renewal lazima iambatane na masharti fulani hivi kwa sababu, pamoja na kwamba kuna...
  13. Jaffary

    Hati ya nyumba Imechanwa alafu ikatengenezwa nyingine

    Ni rahisi, nenda halmashauri ya wilaya au manispaa uliyopo uwaone watu wa idara ya ardhi. Omba kufanya upekuzi rasmi(official search) ambayo inagharimu shilingi elfu kumi. Utapata print out ya jina la current owner. Lakini ili upate suluhisho la kudumi, itisheni kikao cha familia, na mpendekeze...
  14. Jaffary

    Samsung A50 nikipiga au kupigiwa inaji restart naomba msaada

    Wakuu, Simu yangu samsung A50, nikipiga au kupigiwa simu, baada ya dakika chache wakati naongea hukatika na kuwa kama inaji-restart hivi. Yaani siwezi kuongea zaidi ya dk. bila kukatika. Tatizo litakuwa ni nini?
  15. Jaffary

    Rais Magufuli unafanyiwa fitina na Utumishi

    Kwa uelewa wangu, ukizungumza kwa ujumla, umri wa kuajiriwa serikalini ni miaka 45 na sio zaidi. Sababu hasa za umri huo ni kulingana na sheria za pensheni. Hii inamaana, ukiajiriwa na miaka 45 utafanya kazi kwa muda wa miaka 15 hivyo kukufanya uwe na sifa za kupata pensheni. Ikiwa zaidi ya 45...
  16. Jaffary

    Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Angalia kwenye email yako. Nimekutumia
  17. Jaffary

    Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Ninayo, lakini nimejaribu kui-upload bila mafanikio!
  18. Jaffary

    Msaada kwa wenye uzoefu na masuala ya parcel za Posta

    Huo mzigo umetumia kwa njia ya registered mail, kama sijakosea. Na nijuavyo, nenda kwenye box lako la posta huwa kuna vikaratasi wanaweka, kichukue then uende nacho counter kuchukua mzigo. Au kama hakipo nenda posta, wataangalia kwenye system yao kujua mzigo wako upo wapi! NIKUHAKIKISHIE, ni...
  19. Jaffary

    Makubaliano ya vikao vya ukoo kisheria kwenye mirathi (Msaada please)

    Labda kukusaidia. Utaratibu wa mirathi ni kwa kufungua mirathi mahakamani. Mahakama ndiyo inamteua msimamizi wa mirathi baada ya kikao cha familia kukaa na kupendekeza. Pia mtu yeyote mwenye interest na mali za marehemu anaweza kuomba kuteuliwa na mahakama kuwa msimamizi wa mirathi. Hivyo...
Back
Top Bottom