Search results

  1. Kind

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Mwenye uzoefu na gari za mazda demio anipatie. Nataka kujua spare zake zinapatikana hapa Tanzania kwa urahisi au gharama ni kubwa sana?
  2. Kind

    Ushauri: Ununuaji wa magari

    Calculator ya tra ni hii http://www.tra.go.tz/index.php/calculators-tools
  3. Kind

    Ushauri: Ununuaji wa magari

    Ukiacha na beforward mtandao gani nao mzuri kununua magari
  4. Kind

    Ushauri: Ununuaji wa magari

    Mwenye uzoefu na gari za mazda demio anipatie. Nataka kujua spare zake na je ukubwa wake ni kama ist au vitz au swift
  5. Kind

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Mwenye uzoefu na gari za mazda demio anipatie. Intems of spare je kwa nchini zinapatikana? Je zipo kama IST au swift kwa ukubwa.
  6. Kind

    Msaada kuhusu kuwithdraw mfuko wa PPF baada ya kuacha kazi

    Du hawajamaa nimeprocess ila ni mwezi sasa hamna majibu
  7. Kind

    Ushauri: Ununuaji wa magari

    Hivi kuagiza Toyota IST ya mwaka chini ya 2005 gharama zake zipoje mpaka inafika nchini
  8. Kind

    Msaada kuhusu kuwithdraw mfuko wa PPF baada ya kuacha kazi

    Wakuu naomba msaada wenu. Napenda kujuzwa taratibu za kuwithdraw toka ppf baada ya kuacha kazi, pia inachukua muda gani kupata hayo malipo. na pia je ukisha chukua malipo unaweza kujiunga tena utapo pata kazi nyingine? Ni ofisi zao zipi zinashughulikia swala la kuwithdraw? na itachukua...
  9. Kind

    What is the best website hosting reseller?

    kuna ambae ametumia inmotionhosting anipe reviews zao upande wa support wakoje?
  10. Kind

    What is the best website hosting reseller?

    Thanks my current plan has reached the limit of 200 GB. is there any other offering more space at much cheaper than Hostigator I need to shift some domains
  11. Kind

    What is the best website hosting reseller?

    Guys in technology firm. for long time I have been using and prefered Hostigator for website hosting reseller but I have found that they are so expensive and storage limit of 200 GB sold at much higher price. I would like to know who else are good reseller I need to open please include their...
  12. Kind

    African Satellite World and Sat Gear

    Hi guys I want to know how can I watch FTA channels in this new DSTV HD decoder e.g Watching channels which are not mentioned in their packages such as Eatv, Clouds tv and many more.
  13. Kind

    Ushauri: Ununuaji wa magari

    Wadau mimi naomba mnijulishe kuhusu IST na Vitz ni mtandao gani mzuri kuagizia. Gharama zake za kodi zipoje na spare zake. Pia ubora kwa maeneo ya Dar na Morogoro maana Morogoro barabara nyingi vumbi. Alafu nataka kujua jinsi ya kutumia calculator hii mpya ya TRA
  14. Kind

    Milipuko ya Ghafla Dar ni kwasababu ya Diwali

    Duuu nikajua kishanuka nilitaka kuanza kutafuta pakukimbilia
  15. Kind

    Milipuko ya Ghafla Dar ni kwasababu ya Diwali

    Huku maeneo ya sinza nasikia milipuko kwa mbaali kama mafataki sijui mabomu ni kitugani hiko mnaofahamu imeanza kama saa tano na robo usiku huu sijui nini hiko
  16. Kind

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Zina vary kulingana na rates za pesa mfano kama bidhaa inauzwa kwa pound basi rates zitakua ni za muda ule kulingana na exchange rates
  17. Kind

    Take it for granted

    Haha I can see you fall on no 8
  18. Kind

    Take it for granted

    1.You carry your girlfriend to club. After you marry her, you want her to stop clubbing! My broda, you need miracles directly from God himself. 2. You have tribal marks on your body, stretch marks and scars yet you still want a tatoo... Aah! My friend, you know you gonna be a zebra, right? 3...
  19. Kind

    Mtu kuficha "last seen info" kwenye Whatsapp... Swali...

    Anakwepa maswali ya ajabu huyo mambo ya kuulizana mbona last seen sa saba ulikua unachat na nani? Kumbe wewe ulienda tuuu kujisaidia
  20. Kind

    Kwa wapenzi wa documentaries

    Hiyo nimeangalia daah ajari nomaa. Pia nazipenda documentary za BBC kuna moja nimeangalia inaitwa "life is race against time" hii inaelezea ni jinsi gani maisha yana badilika kulingana na muda unavyoenda.
Back
Top Bottom