Search results

  1. Infopaedia

    Bosi TRA anavyoitafuna nchi

    Kwa mantiki hiyo, Mtanzania anakuwa hana tofauti na wanyama au hayawani wa porini. Pona ya digidigi ni kushiba kwa Simba. Na watoto wa Chui wanaweza uwa mtoto wa swala kwa kujifunzia kuwinda. Tumia muda kidogo tu kuangalia Tv channel za wanyama na uone maisha ya mwituni. Ndivyo unavyotaka...
  2. Infopaedia

    PICHA: Siamini ninachokiona, nimacho yangu au...

    Lengo la kufuga paka ni kukamata panya. Kama anakamata panya, hayo mengine yanakubalika. Impact ya Jf kwa jamii ikoje?
  3. Infopaedia

    Je upepo wa tairi wafaa kuwa sawa mbele na nyuma?

    Madhara ya kujaza sana au kujaza kidogo ni hayo hapo juu. Uishaji wa matairi. Upepo wa tairi za nyuma hutofautishwa na upepo wa tairi za mbele kwasababu, inategemewa uzito wa mbele na uzito wa nyuma ni tofauti. Ila kama uzito sawa, hakuna tofauti ya ujazo. Angalia tairi zako zinavyoisha ndo...
  4. Infopaedia

    NMB/VODA mnatuibia

    Sina uhakika kama nimekuelewa vizuri. Ila nimeelewa kwamba kwa mtazamo wako, kumiliki simu fulani pia kunaendana na uwezo wa kiuchumi wa muhusika. Kama ni hivyo, dah!! pole sana. Nachelea kusema ni dhana potofu sana. Wengine hizi simu ni mtindo wa maisha tu. Hazina uhusiano na uchumi. Mtu...
  5. Infopaedia

    NMB/VODA mnatuibia

    Laptop. Au naweza kuweka hiyo apk kwenye hii laptop?
  6. Infopaedia

    NMB/VODA mnatuibia

    Sisi wengine tochi zetu ndio zina simu. Tofauti na nyie ambao simu zenu ndio zina tochi.
  7. Infopaedia

    NMB/VODA mnatuibia

    Hapa ndipo wizi unapoanzia.
  8. Infopaedia

    NMB/VODA mnatuibia

    Siyo wote wenye simu janja.
  9. Infopaedia

    NMB/VODA mnatuibia

    NMB/VODA huu wizi mtaacha lini?. Napiga *150*66# ili nipate huduma ya bank mkononi. Naambiwa huduma hii kwa sasa haipatikani, lakini nakuta kiasi cha Tsh 50 mmekata kwenye simu yangu wakati sijapata huduma. Narudia tena *150*66#. Nafika hatua ya nne kuelekea huduma ninayohitaji, naambiwa...
  10. Infopaedia

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    NMB/VODA huu wizi mtaacha lini?. Napiga *150*66# ili nipate huduma ya bank mkononi. Naambiwa huduma hii kwa sasa haipatikani, lakini nakuta kiasi cha Tsh 50 mmekata kwenye simu yangu wakati sijapata huduma. Narudia tena *150*66#. Nafika hatua ya nne kuelekea huduma ninayohitaji, naambiwa 'huduma...
  11. Infopaedia

    Haya ndiyo mambo ya ajabu niliyowahi kuona na kushuhudia kwa macho yangu, sitoyasahau katika maisha yangu

    Hivi kwanini ukiwa na hela huonagi mambo ya ajabu!!!. Au basi....sababu hili nalo ni jambo la ajabu.
  12. Infopaedia

    Polisi wa barabarani na weledi wao.

    Naunga unga tu 🤣🤣🤣
  13. Infopaedia

    Polisi wa barabarani na weledi wao.

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  14. Infopaedia

    Polisi wa barabarani na weledi wao.

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  15. Infopaedia

    Polisi wa barabarani na weledi wao.

    Ilikuwa hiviii....... Niko njiani naendesha. Mbele nikakutana na daladala aina ya coaster. Ile daladala ilikuwa njiani inaenda huku ikitafuta abiria. Nadhani unajua Mwendo wa hawa jamaa wakiwa barabarani huku wanavizia abiria, ni taratibu sana. Nikaenda nae hivyo hivyo. Na hii barabara katikati...
  16. Infopaedia

    Polisi wa barabarani na weledi wao.

    Asante sana kaka. Umenifumbua macho. Ndio maana nilikuwa napata mashaka sana juu ya weledi wake. Kama mtu kaweza kuandika hii lugha namna hii, inawezekana vipi ashindwe kutofautisha!!!. Kumbe ni mambo ya ku-click. Hiyo pia ime-explain jambo jingine ambalo sikulitaja kwenye andiko langu. Kosa...
  17. Infopaedia

    Polisi wa barabarani na weledi wao.

    Asante sana kaka. Umenifumbua macho. Ndio maana nilikuwa napata mashaka sana juu ya weledi wake. Kama mtu kaweza kuandika hii lugha namna hii, inawezekana vipi ashindwe kutofautisha!!!. Kumbe ni mambo ya ku-click. Hiyo pia ime-explain jambo jingine ambalo sikulitaja kwenye andiko langu. Kosa...
  18. Infopaedia

    Polisi wa barabarani na weledi wao.

    Mkuu kweli..... Hata kama wewe ni askari ungemuandikia Kosa raia kwa mtindo huo!!!! . Nipata mashaka zaidi.
  19. Infopaedia

    Polisi wa barabarani na weledi wao.

    Asante sana kwa ufafanuzi kaka. Tunarudi kwenye weledi wa huyu askari wa barabarani. Kuna shida kubwa kwenye hichi chombo. Na haya ni mambo tunayoweza kuyaona huku nje. Kuna mengi ya huko ndani, nadhani ni hatari zaidi na uvundo zaidi.
  20. Infopaedia

    Polisi wa barabarani na weledi wao.

    Habari zenu wana jamii. Leo nimeona tuongeee kidogo kuhusu hawa askari wetu wa úsalama barabarani. Ukiangalia hicho kiambatanisho hapo juu, hilo ni Kosa la barabarani ambalo askari amemuandikia dereva. Japo kuwa hilo Kosa inaonekana ni la kujitungia tu, lakini shaka yangu si juu ya hilo...
Back
Top Bottom