Je upepo wa tairi wafaa kuwa sawa mbele na nyuma?

Je upepo wa tairi wafaa kuwa sawa mbele na nyuma? Na je niqeka upepo mf nyuma 50 na mvele 40 kutakuwa na madhara gani na nini faida ya kuweka upepo sawa? Natanliza shukrani kwa watakaochangia
Gari nyingi huwa wanaandika mlangoni kwenye frame, tyre pressure za tyres zote zinatakiwa kuwaje.

Pia kila tyre kwenye gari limeandikwa maximum pressure ni ngapi?

Hapa unataka watu wakupe personal experience ambazo zinaweza kuwork kwenye gari yako au lah.
 
Gari inaweza kubinuka.

34DA763B-A0BD-42C5-B688-050955C7DEE0.jpeg
 
Screenshot_20230410-191406~2.png

Screenshot_20230410-191332~2.png

Screenshot_20230410-191245~2.png

Madhara ya kujaza sana au kujaza kidogo ni hayo hapo juu. Uishaji wa matairi. Upepo wa tairi za nyuma hutofautishwa na upepo wa tairi za mbele kwasababu, inategemewa uzito wa mbele na uzito wa nyuma ni tofauti. Ila kama uzito sawa, hakuna tofauti ya ujazo. Angalia tairi zako zinavyoisha ndo utajua kama una jaza sana, kidogo, au sahihi. Kwa gari za abiria huwa inashauriwa kati ya 32psi na 35psi.
 
IMG_6747.jpg

Hii ni Subaru Forester SH. Nilikua najaza mbele 35 nyuma 40 gari ilikua ina dunda dunda sana rough road naskia kelele usukan unagonga. Ila baada ya kufuata maelekezo hayo niliona utofauti mkubwa sana gari imetulia barabarani, haigongi wala haudundi dundi. Ushauri tufuate maelekezo ya manufacturer pale mlangoni kwa dereva. Note unatumia google translator inakutafsiria.
 
Back
Top Bottom