Search results

  1. Abloodi

    ACER X110P 3D DLP PROJECTOR Inauzwa.

    kwa wale wanaozijua,ipo katika hali nzuri na ni nzuri pia kwa wale wacheza games.Imetumika masaa 74 na bado ni sealed, katika hali ya upya kabsa ACER PROJECTOR X110 3D DLP Part No - EY.JBU01.039 Product Description - Acer X110P - DLP Projector - 3D Ready Weight - 2.2 kg Device Type - DLP...
  2. Abloodi

    Acer X110P DLP projector - 3D. inauzwa

    Ni used, but ipo sealed kwan imetumika masaa 74 tu. nauza 500k (Laki tano na maelewano yapo) anayehitaji ani pm.nipo Dar ila hata wa mkoani naweza ituma kwa maelewano tutayo ingia Lamp Life (Full Power) : 3,000 hours Lamp Life (eco-mode) : 4,000 hours Lamp Type : P-VIP Lamp Wattage: 180...
  3. Abloodi

    Acer projector for sale

    kama kichwa kinavojieleza,aliyenauhitaji ani pm,nimtumie pcha nk
  4. Abloodi

    Samsung 32inch led used nahitaji

    Nahitaji Simu aina ya Samsung, 32inc LED used, Kwa aliyonayo na anaiuza aweke na bei!
  5. Abloodi

    Anayeuza circuit nzima ya nokia n96 au huawei u8650

    NATAFUTA CIRCUIT YA SIMU TAJWA HAPO JUU....PLZ KAMA UNAYO TAJA BEI YAKE TUFANYE BUSINESS NB.IWE N NZIMA :israel:
  6. Abloodi

    Mwenye circuit ya huawei u8650 au simu mbovu

    NINA HUAWEI U8650 IMEHARIBIKA COLLECTOR INAYOPOKEA MKANDA WA KIOO...NATAFUTA MTU AMBAYE ANA CIRCUIT YAKE ILI NILIPLACE YANGU...AWEKE BEI TUELEWANE:help:
  7. Abloodi

    Polisi mkoani mbeya watafuta vita

    Japokuwa watu wametulia polisi Wamekuwa wakizizunguka mitaani na kupga mabomu ya machozi na kumwagia maji ya kuwasha, mbalizi nako kumenuka ,TRA mmefulia
  8. Abloodi

    Heslb ukweli ndo huu

    habari ni kuwa ,haya najina yaliyotoka niya wale wanafunzi wanaoenda first year mwaka huu,then yatafatiwa na majina ya wale wanafunzi wa chuo wanaopata mkopo lakini waliomba tena ili waboreshewe kiasi cha mkopo wanaopata ....alafu yatafuata majina ya wale ambao walikuwa wasoma bila mkopo kabisa...
  9. Abloodi

    Natafuta Sub-woofer

    Natafuta subwoofer kwa yeyote anayeuza .npo dar es salaam
  10. Abloodi

    Nawezaje kubadili username kwenye jf

    Naomben mwny uelewa wa jinsi ya kubadr username hapa jf
  11. Abloodi

    Need for speed the run

    Ni moja kat ya games ambazo nazkubal xana na baada ya kuona trailer lake... Lakn cha ajab kwny pc yng inagoma kwa kuonesha black scrn plz naomba kwa aliyenayo na inacheza anielekeze amefanye
  12. Abloodi

    BOT watoa scholarship changamkia

    BOT sasa wanatoa scholarship kwa wanafunzi mtaopangiwa course za economics ,math,accoun na finance na hata kwa wale watao taka masters...kwa nyie mliomaliza 6 ,lazma uwe na div 1 na uwe umepata A kati ya hayo maxomo hapo juu ,na kwa wanaotaka masters lazma uwe na GPA kuanzia 4 na kupanda, kwa...
  13. Abloodi

    Natafuta huawei y300

    natafuta mtu nayeuza huawei y 300
  14. Abloodi

    huawei 8650u on sale

    HUAWEI U 865O On sale 150,000 tu..ipo freshhhh
  15. Abloodi

    Natafuta Samsung Tablet

    anayeuza tablet za samsung me naitaka syo mteja mwny longolongo swala tuelewane, weka bei hapa au ni pm. NARUDIA TENA MIMI SYO MTEJA MWNY LONGOLONGO
  16. Abloodi

    Hlssf ni matapeli

    Napenda kuchukua nafasi hii kuwa asa wale wote wenye mpango wa kutumia pesa zako katika kuomba mkopo kwenye hii taasisi sjui ya HLSSF Kwa kifupi hawa majamaaa nimatapeli watakulia 30000yako na utambulia ahadi tu. Na website yao inafanya kazi kipindi tu cha ku apply. HAWA HLSSF NI MATAPELI NA...
  17. Abloodi

    wap naweza pata tv tuner za laptops

    naomba msaada wap naweza pata tv tuner za laptop ambazo zna tumika katka usb port
  18. Abloodi

    Anaye uza dell 630

    Natafuta dell 630 ...iwe kwenye hali nzuri pia anayeuza atoe na specifications zake .awe anaishi DAR
  19. Abloodi

    Msaada plz iphone yangu 3gs imezima haiwaki

    naomben msaada wana jamvi...nina iphone yangu 3gs mara ya mwisho ilizima ikadai chaji imeisha ..cha kushangaza nilpo ipachika kwny chaji ili vibrate tu na wala haioneshi chochote nikacharibu kupress power button +home button wala haijasaidia chochote plz nisaidien maana hata itune haiitambui
  20. Abloodi

    HELP PLZ...nime upgrade IDEOS u8150 rom to ICS siwez play music au video

    natanguliza shukurani .....mwenzenu nime istall ICS rom ktk ideos U8150 na nimefanikiwa ...lakini simu haiwez play music au video..inasema Cant play this video/musi..naomben msaada..
Back
Top Bottom