HELP PLZ...nime upgrade IDEOS u8150 rom to ICS siwez play music au video

Abloodi

Senior Member
Oct 27, 2011
165
12
natanguliza shukurani .....mwenzenu nime istall ICS rom ktk ideos U8150 na nimefanikiwa ...lakini simu haiwez play music au video..inasema Cant play this video/musi..naomben msaada..
 
mkuu nilinunua simu ya ics before kueka chochote nikaenda kwenye task manager ilikua inakula ram 200mb kwa os na built in os. hio os kwa hio simu itakusumbua bora rudi gingerbread.

kama still bado mbishi fanya mambo haya.

1.kuwa rafiki na task manager
bonyeza setting then application manager then running utaona apps zinazorun sasa hv close application zisizo na maana hakikisha una ram hata 100mb free

2.jaribu kudownload third party music and video player
hapa namaanisha uende store au website unayoijua wewe then kadownload application ya kuplay music au video na uache kutumia hizo za built in uone kama itafanya kazi

3. cheza na developer option (kama ipo)
hii utaipata setting then developer option then nenda limit background process. hapa utakua unalimit app zisifanye kazi background eka chache kutokana na matumizi yako.

try tuone itakusaidiaje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom