Search results

  1. MaylaGladson

    Tuzo za muziki tanzania (tma) kufanyika juni 15, 2024

    Mimi nashauri wasanii wa Bongo muwasimamie mpaka kwenye swala la mavazi,Wanatakiwa wapendeze sana watuwakilishe vizuri jamani maana tutaonekana Dunia nzima.Wasije wakatudhalilisha maana wengi hawajui kuvaaa.June sio mbali na pia sio karibu mda wa kujipanga upo.Bila kusahau Tukio lifanyike eneo...
  2. MaylaGladson

    Natamani sana Dar es Salaam ingeweza kuzingatia sana kwenye usafi wa mazingira maana kwa mazingira yalivyo kwa sasa sio salama

    Habari wana Jamii Forum Ningeomba niwasilishe hili swala kwa jamii ili tuliongelee. Dar es Salaam ni Jiji zuri sana kwa hapa Tanzania ambalo linapendwa na wengi na huo ndio ukweli usiopingika,lakini pamoja na uzuri wake wote kuna kitu kimoja tu kinashusha thamani ya Jiji hili nacho ni MAZINGIRA...
  3. MaylaGladson

    Wizara ya Afya Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ila jamani mmezingua sana mlivyofanya mabadiliko kwenye Bima za afya kua kama mtu sio mama yako aubaba yako au mwanao et hawezi kutumia Bima yako. Aisee haijakaa poa,kuna watu hawana wazazi kabisa basi fanyeni utaratibu wasiwe wanakatwa Bina km wenye wazazi na watoto.Na hapo mtu hospitali...
  4. MaylaGladson

    Kwa wale wadada wa ofisini, kanisani, msikitini na mitoko mbalimbali, njooni niwajuze chimbo bei rahisi na lenye vitu vikali

    Basi sawa sio lazima sana,Labda kwa kukutaarifu Mimi sipost Jamii Forum sana na ni kwasababu ni mpaka niingie Chrome ndio niingie,sijajua km kuna app mnijuze..maana nashindwa kua active huku.
  5. MaylaGladson

    Kwa wale wadada wa ofisini, kanisani, msikitini na mitoko mbalimbali, njooni niwajuze chimbo bei rahisi na lenye vitu vikali

    Mbona nimeweka tangazo vizuri,nicheck whatsap kwa picha zaidi.Karibu😊😊😊
  6. MaylaGladson

    Natafuta Mdada/Binti wa kazi Smart Mwenye Elimu Kuanzia Form 4 kwa ajili ya kazi ya duka

    Nauli Elfu 2000 Hakuna siku ya mapumziko eeh kazi gani mtu anatakiwa apumziketofauti na hapo uwe unamlipa pesa nyingi ili unshawishi Kutoka saa 4 usiku uyo ni punda na kupumzika hapumziki Ndio mana mnakosa wafanyakazi kheeee
  7. MaylaGladson

    Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!

    Pole sana,jikaze maisha ndivyo yako hivi Peleka maisha polepole na raha jipe mwenyeweuna tatizo la Afya ya akili nakushauri utafute mtaalam kwa msaada zaidi
  8. MaylaGladson

    Jipatie Hereni na Cheni kwa bei nzuri sana

    Hellow Wapendwa wa Jamiiforums, Nina Hereni na cheni nzuri sana za kuvutia na hazifubai, kuwasha, n wala kuchubuka. Hereni utapa kutoka kwetu kwa kiasi cha Tsh 12,000 na cheni kwa sh 10,000. Wewe mdada jipende jamani,vaa pendeza uonekane,wakaka mnunulie mkeo,mpenzj wako au jata crush wako...
  9. MaylaGladson

    Kwa wale wadada wa ofisini, kanisani, msikitini na mitoko mbalimbali, njooni niwajuze chimbo bei rahisi na lenye vitu vikali

    Dar Es Salaam :Mawasiliano|Mabibo Bagamoyo:Kerege Karibu mpaka nyumbani Sina duka ni online Business Ahsante
  10. MaylaGladson

    Kwa wale wadada wa ofisini, kanisani, msikitini na mitoko mbalimbali, njooni niwajuze chimbo bei rahisi na lenye vitu vikali

    Sina duka ni online Business Napatikana Mawasiliano|Mabibo…. Napatikana Bagamoyo kerege Karibuni mpaka nyumbani
  11. MaylaGladson

    Fahamu mawe ya kwenye Koo yanayosababisha harufu mbaya ya Kinywa

    Mimi iliwahi kunitokea nilichanganyikiwa nilihisi nina tatizo kubwa la koo.Ila nilikuja kugundua ni Tonsil Stones baada ya kugoogle google na nilifata maelekezo kadhaa ila iliyonisaidia kupona ni kubadili mswaki na dawa(Colgate) na nilitumia Mouth wash(Listerine)….Na kusukutua na maji ya...
  12. MaylaGladson

    Naomba ushauri: Nafanya biashara lakini sina amani ndani yangu. Natamani kwenda mbali lakini sijui naenda kuanzia wapi

    Uko sawa kwenye issue za Familia? Nazunguzia ndugu pamoja na mtu uliyekua nae kimahusiano. Una madeni au mkopo wowote??? Una udhaifu wowote labda watu wanautumia kukuumiza au kukutenga??? Kwanini unawaza kwenda mbali huna watu wa kukufariji kiasi ya kwamba uwaze kwenda mbali? Yan umekosa...
  13. MaylaGladson

    Kwa wale wadada wa ofisini, kanisani, msikitini na mitoko mbalimbali, njooni niwajuze chimbo bei rahisi na lenye vitu vikali

    Hello, Nauza magauni mazuri sana ya kwenda kazini,ofisini na kwenye mitoko mbalimbali.kwa Bei ya Tsh 10,000-20,000. Lakini Pia ninauza Official skirt na pant kwa Bei ya sh 6,000-15,000. Lakini pia kwa wale wa msikitini na wapenda vaa stara kuna Mabaibui/Abaya mazuri mno kwa Tsh 15,000-20,000...
Back
Top Bottom