Search results

  1. M

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    arusha will become one of greatest cities EA japo watu hawaitili maanani nilitembelea mwaka jana 10+ floor buildings zinajengwa kila kona nazani sa hv papu watajenga 20 floor building kingine arusha kuna estate dealers wa viwanja kila mahali yani makazi holela yaliyopo arusha ndio hayohayo...
  2. M

    Maisha ya Arusha sio

    ni jambo jema kuona mnaiongelea arusha vibaya maana kiuhalisia haiko ivo arusha inaongoza kuishi foreigners wengi kuliko sehemu yoyote tz arusha ni important city in term of tourism and diplomacy afu kuna mtu anasema tunaishi ki primitive arusha ya visu ni zamani sana m nlikuwa mdogo mnoo mm...
  3. M

    Maisha ya Arusha sio

    namshangaa watu tunakeshaa anasema saa moja hawa ndio wanaadisiwa vitu vya ajabu
  4. M

    Maisha ya Arusha sio

    hii ni story umeisikia kwa mtu in real aspect arusha ya sasa hv kote huko matejoo ngarenaro ni pakawaida sana yani ungalimited pamepoa ni viwanda tupu kasoro ngarenaro msingi kidogo kwa umbalii bado kuna vibaka afu eti watu wa arusha kuchomana bisi bisi au visu mbona hizo story hamna huku watu n...
  5. M

    Meya wa Jiji la Arusha, Kalisti Lazaro ahamia CCM. Awashutumu CHADEMA kumkataza kutoa ushirikiano kwa viongozi wa Serikali

    [emoji23][emoji23][emoji23] sizani kama atakuwa mbunge nnahisi atarudi kuwa meya kwa muhula wa pili
  6. M

    Laptop HP 3115m inauzwa Tshs 295,000

    Haina tatizo mkuu ncheki namba izo
  7. M

    Laptop HP 3115m inauzwa Tshs 295,000

    Laptop bado ni mpya na haina tatizo lolote na risiti yake ipo. HDD 320 GB RAM 2 GB Processor 2.00 GHZ Slim and portable Os window 10 Fast charge adapter More than 3 and half hours in battery Web cam Mouse ya bure Compatible with many games Bei: 295,000 Iko Mbeya Mawasiliano: 0747 740 714
  8. M

    Laptop HP Elitebook inauzwa 390,000

    Sijasema n mpya kutoka kiwandani
  9. M

    Laptop HP Elitebook inauzwa 390,000

    Ntafute tuonge vizury
  10. M

    Laptop HP Elitebook inauzwa 390,000

    No ndio maana nkasema Ina isiti
  11. M

    Laptop HP Elitebook inauzwa 390,000

    Laptop bado ni mpya na haina tatizo lolote na risiti yake ipo. Hdd 320gb Ram 4gb Processor 2.30ghz i5 Slim and portable Os window 10 Fast charge adapter More than 3 hours in battery Web cam Mouse ya bure Compatible with many games Backlight keyboard Cleaning spray 390,000 Iko Mbeya mawasiliano...
  12. M

    Laptop hp elitebook inauzwa 390,000

    Laptop bado ni mpya na haina tatizo lolote na risiti yake ipo Hdd 320gb Ram 4gb Processor 2.30ghz i5 Slim and portable Os window 10 Fast charge adapter More than 3 hours in battery Web cam Backlight keyboard kwa ajili ya usiku Extra 2gb ram Mouse ya bure Compatible with many games 390,000...
Back
Top Bottom