Maisha ya Arusha sio

Nipo Chuga ila maeneo niliyopo ya Uzunguni kuna bar nyingi sana na sijaskia tukio la ukabaji. Lakini kuna bar moja inaitwa Tingatinga kuna jamaa aliangusha bia bas demu mmoja karibu yake alimtukana matusi ya hatari hadi nikashangaa anapata wapi ujasiri. Bora nirudi zangu Daslamu kesho.
 
Kuna mmoja amesema Arusha wanalala saa moja! Ajabu kwa kweli. Ajitahidi atembelee Mianzini, Sanawari, Morombo, Kati Makutanano, Uswahilini, Shiva's kwa dada poa, Kijenge, Sakina na Ngarenarooo!
 
namshangaa watu tunakeshaa anasema saa moja hawa ndio wanaadisiwa vitu vya ajabu
 
Kukaa dar weekend n ushamba unalipa 16k unakwea tren ijumaa jion Ile jumamos tuu mzee upo Moshi unavuruga Moshi wee mpaka jion saa mbili hv unakwea Arusha unavuruga jumapili mpaka iwe unaamka jumatatu na namihangover saa tano hv unaenda stend unapanda Lim safari au saibaba huyo mdogomdogo unaenda kuwasimulia dar au unavunga mpaka jumanne unarud na tren bila shida
 
Wakuu salama, Sina. Mengi ya kuandika hapa,
Nina. Miaka kadhaa hapa Arusha lakini kuna baadhi ya mambo hunishangaza kidogo

1) Ujambazi, wezi wa hapa hawaogopi chochote, mfno mzuri usiku wa. Leo wameingia kwenye nyumba ya mjeda, mwanamke na mume wake wote ni wajeda lakini cha kushangaza wazee wa kazi wameingia ndani ya ukuta wamechukua piki piki na kusema.
Mwezi Uliopita pia waliingia kwa mjeda mwingine huko kwa morombo wakachukua kombati. Lilikuwa kwenye kamba lime Anika.

2) Ugomvi kidogo mtu anachomoa kisu. Na hapepesi anakupa cha kichwa au cha tumboni. Si mwanamke si mwanaume wote ni visu wanakushikia na hawaogopi.

3) Kubwa zaidi kuliko yote ni Bangi na. Mirungi
Si wanaume si wanawake Bangi na Mirungi huwaambii kitu. Tena Mirungi ya siku hizi wanaagiza Nairobi wanaita wenyewe ndo gredi one

Mijanamke ya hapa kukuta yanapiga mizinga ya nyagi huku yanachanja Yan kawaida sana.

4) No story no ushost kila mtu na laifu Lake, kila mtu hapa anamaindi mambo yake.
Katika mitaa ambayo haikaliki ni matejoo, ugalimi, na Ngarenaro Yan huko hata polisi wamenyoosha mikono.
Japo patrol ya. Polisi ni usiku na. Mchana lakini vijana hawasikii na hawaelewei
Sifa za kuchomana visu sio za watu wa Arusha hizo ni za walevi tu na hutokea huko bar. Ulivyoaandika uzi wako kwa mtu ambae hajawahi kufika Arusha anaweza ogopa kufika, ila mara nyingi Arusha inayozungumziwa kwenye mitandao siyo Arusha halisi.

Ni kweli baadhi ya mambo yapo hususani mirungi kwa kuwa inalimwa huko milimani, ila haya ya ugomvi ugomvi sijui mademu wa Arusha wababe ni uongo mtupu. Wanawake wa Arusha wengi ni warembo sana, wameshika dini sana na wana hofu ya Mungu muda wao mwingi wanashinda radio safina kwenye maombi. Hao unaosema wababe ni wale walevi wachache wa Shivaz na matejo ambao kila mkoa wapo.
 
Sawa,
 
Arusha watu wachafu Sana, watu ni washari Sana, mavazi ya hovyo hovyo na uvaaji mitumba uliokithiri , Hali ya hewa Arusha ni amazing , nitarud tena Arusha
 
Inaonekana namba 3 ndio chanzo cha hayo matatizo kwenye namba 1, 2 na 4.
 
Wanawake wa chugastan asilimia kubwa hawafai
Nipo Chuga ila maeneo niliyopo ya Uzunguni kuna bar nyingi sana na sijaskia tukio la ukabaji. Lakini kuna bar moja inaitwa Tingatinga kuna jamaa aliangusha bia bas demu mmoja karibu yake alimtukana matusi ya hatari hadi nikashangaa anapata wapi ujasiri. Bora nirudi zangu Daslamu kesho.
 
Nipo mwanz midaa hii ya saa kumi na mkja nmetoka kukimbizana na vibaka,yaan vibaka wa huk njaa kali sanaa,wanarisk maisha kwa kuruka get na kuiba ndoo za uchafu pamoj ba ndala zilizoachwa nje,kwa kwl ulinz uimarishwe hasa hasa igoma maana ss iv hadi watt wameanza kua vibak huku mtaan
 
Mkuu umeandika uongo mtupu Arusha Moshi wanawake ni wa babe, kuchomana visu kumepungua sio kuwa hawachomani

Back
Top Bottom