Search results

  1. R

    Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

    Jahazi linazama..Anaona Chama kinamfia mikononi mwake.Niwaulize Kashfa zingine Mmiliki atakuwa nani? Hapa ni MABADILIKO. CCM iondoke tu kwa kuwa hakuna msafi na mzuri au mleta mabadiliko ndani ya CCM.hata Magufuli hafai..
  2. R

    TCRA: Wasio wawakilishi wa Vyama hawaruhusiwi kushiriki vipindi vya moja kwa moja kuongelea Uchaguzi

    Huyu Pole Pole sasa tumwite Haraka Haraka.Misingi aliyekuwa anasimamia kama Kijana sasa ameiamishia kwenye Ukada.Kwa ujumla Kwa sasa anatumika kwa nafasi moja tu ya kuwasema UKAWA.Ushahidi upo na hata jana alipokuwa kwenye mahojiano channel Ten.Yeye kama mwanaharakati hakupaswa kubeba dhamana ya...
  3. R

    Miaka 54 ya uhuru lakini mambo si mambo

    Vijana wa Lumumba bana,Povu linawatoka.Eti kila kitu Hapa Kazi tu,ukiwafwatilia hata wao wanataabika isipokuwa wamekunywa maji ya Bendera.Hii nchi haibadiliki kwa ajili ya vijana kama hawa eti Hapa Kazi Tu hata haya hawana. Mabadiliko lazima,na kwa kuwa CCM imeshindwa chini ya mfumo wao miaka...
  4. R

    Lowassa aachiwa zigo la kujinadi huku akiwa hana uwezo!

    Hizi ndizo akili mgando zenye fikra finyu.Kwani Maisha ya watu wa Chalinze unayajua?..Tuwe na fikra pevu sio kutopoka na kutoa povu.
  5. R

    Sumaye: Nimenunua shamba kwa kiinua mgongo changu

    wengine tumemaliza nao chuo kikuu,Leo hii umri wa miaka 30 anakuwa bilionea kisa baba raisi,Kwa hali hii lazima tubadlishe huu mfumo wa kuchuma ukiwa ikulu..
  6. R

    Dr. Slaa adai yupo nchini, Lipumba asema haridhiki na UKAWA kuwa na mgombea Urais aliyetoka CCM

    Kwani Jamhuri haina taarifa kamili juu ya Richmond?..Usiwe fwata upepo,kwani Lowasa kupiga hela za Richmond au ni sehemu ya majukumu na maelekezo isipokuwa bosi wake ndio wa kwanza kuulizwa. Mnapoteza muda sana.Skendo zingine zote ni zaidi ya Richmond mbona hamzungumzii hayo na inajulikana...
  7. R

    Shinyanga mjini, wafuasi wa Dr. Slaa wahama CHADEMA

    umeamua ww na nani?Semea Nafsi yako na Magamba wenzio.
  8. R

    Mbatia anatumika, Mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini?

    CCM Mnapanic.Subirini Dozi iwaingie taratibu.
  9. R

    Sitta Ataka Mdahalo na Lowassa Kuhusu RICHMOND; Asisitiza Kuwa Lowassa ni Fisadi!

    Hivi Team ya Propaganda ya CCM mbona inazidi kupanic.Huyu Sita nae yy sio size ya Lowasa,Anna Makinda.Au Labda Tabwe Hiza ila hatamuweza pia. MICCM mipovu inawatoka kila kukicha,yaani badala ya kutangaza Sera Lowasa..Tushakuwa Viziwi tunataka CCM iondoke tufanye maendeleo ya Tanzania mpya...
  10. R

    Idadi halisi ya wanachama wa CCM Tanzania bara na visiwani mpaka mwaka 2015

    Hizo takwimu za CCM sio sahihi.Isipokuwa kama takwimu zenyewe zinabadilika,idadi ya wapiga kura wasio na vyama ni zaidi ya 14million ukilinganisha na idadi ya wapiga kura waliojiandikisha.
  11. R

    Kampeni za Urais: Nani wako nyuma ya Lowassa na kwanini?

    CCM ndio wako nyuma ya Edo.Funguka Mangi acha kulala
  12. R

    CCM yawawekea dhamana vijana wa Dar waliofanya fujo Singida

    Hapa ntarud bidae ila nchi hii imearibika.Wasiofanya Kosa ndio wanakamatwa huku watuhumiwa wakiachiwa Huru...Ntarudi tena bidae
  13. R

    Hawa Nghumbi amrudisha John Mnyika Mahakamani...

    Amekosa U-DC na Ubunge Lol.Je atapata ulaji wapi, kweli nimeamini hana kazi nyingine anayoweza kufanya zaidi ya hivi vyeo vya kupewa.Aende akalime, si viongozi wengi wanasema vijijini kuna fursa nyingi za Kilimo, aende kijijini kwao akawakomboe ndugu zake kama kauli mbiu ya ma RC na dc (Si...
  14. R

    Kenyan Security Minister George Saitoti Reported Killed

    Ni pigo kwa wana EAC. Ila Kazi ya Mungu.
  15. R

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    Mkuu hapo hamna watu.Kiti kimoja kinachukua nafasi ya watu watatu..Ukiangalia kwa nyuma pia watu hawapo.Tulijua ni kweli mabasi na malori lazima, ila wametoka nje ya DSM. Kingine ni bora kueleza mipango mikakati jinsi gani itasaidia kupunguza maisha makali kwa mtanzania.NDUGU MAISHA NI MAGUMU KWELI.
  16. R

    Mwanasiasa bora kijana 2012 Tanzania

    Godbless Lema..Huyu bwana ni jembe ingawa hata JK kwenye hotuba yake ameonyesha alishiriki kuhujumu haki yake.Ila anastahii kwa kuwa imeonekana Serikali kwa ujumla hawaitaji mtu kama huyu mwenye kujenga hoja zinazosema CCM na vibaraka wake.
  17. R

    Toa maoni yako juu ya wagombea hawa wa BAVICHA (Chadema) taifa

    Kwa Taarifa, yanayoendelea The Haque yametokea baada ya Uchaguzi wa BAVICHA. Taarifa hii ya Ben Saanane ilikuja wakati anatangaza nia yake kugombea nafasi BAVICHA. Kama kweli uko kileo, Taarifa hii ilihtakiwa itoke kabla ya tarehe 28 Mei, 2011.Thanks Ben for the information but its old though...
  18. R

    Sasa ni Professor Wilbrod Slaa

    Wewe mwenyewe unaakili mgando.Lazima ukubali, ukweli ndio huo, Dr. Slaa anastahili,acha chuki binasi
  19. R

    Lema: Nitawahamisha CCM hadi wajilaumu kunipa Likizo Bungeni

    We Gamba Tu, yaaani hata alama za nyakati hauzisomi ama...PoLEE SANAAAAAA..Peleka taarifa kwa CCM kuwa habari yao imeoisha...Long live and u w'll see what is going to happen...CCM kifo cha mende
Back
Top Bottom