Dr. Slaa adai yupo nchini, Lipumba asema haridhiki na UKAWA kuwa na mgombea Urais aliyetoka CCM

Wewe ndio mjinga mkuu! Unashabikia kauli ambazo sio ngeni kabisa! Kama ungekuwa na kumbukumbu alichokisama Slaa juzi ni hicho hicho kinachosemwa miaka yote na kilichosdmwa na Mwakyembe bungeni! Kama wana uhakika na hayo kwa nini Lowasa leo yupo nje? Apelekwe mahakamani ili sheria ichukue mkondo wake na sio upuuzi wa kusema jinai haina mwisho. Pevuka kijana unaibiwa akili hivihivi bila kujitambua na unatokwa mapovu ya ujinga tu!
Sawa ila wewe ni Mpumbavu na Lofa. Hiyo ni kesi ya jinai ndugu. Subiri mda wake utafika. Lazima EL akanyee ndoo, wewe hujui kwanini anautaka uraisi kwa nguvu anajua lazima mvua inamwita. Subiri Magufuli aingie ndio utajua nakueleza nini. Lazima akanyee debe huyu jamaa.
 
Mnataka kukwepesha mada. Issue ya kuwa katoa wapi pesa ya kulipia kipindi haihusiki kabisa. Issue ni je hizo tuhuma alizozitoa ni za kweli au la! kama ni za kweli Je huyu lowasa anafaa kuwa kiongozi?

Kuna Mambo mazito sana Slaa kayaongea kwenye mkutano wake. Hili swala la pesa katoa wap ni cheap politics na ujinga usio na tija katika maendeleo ya nchi yetu.

Cyo cheap politics, its about being smart, tunataka kujua hizo pesa zilipotoka ili tuweze jua anachoongea hakijawa influenced na huko pesa zilipotoka. U nid to uz common sense sometym
 
ww ndo unajichetua...lowassa alipojiunga na chadema na wakati anaulizwa maswali aliulizwa kuhusu Richmond alisema kwamba "MAMLAKA YA JUU" iliruhusu mkataba ule kuendelea sasa sijui unataka aseme nini labda au atumie kiungo gani kuzungumza ili uelewe ndugu yangu...angalia kipima joto saa hizi pia ili muendelee kufa kwa kihoro namna waTanzanzania wasivyowahitaji na siasa zenu nyepesi za kipuuzi...richmond,richmond,richmond hata mkijibiwa kuhusu richmond bado richmond,richmond,richmond...meremeta,epa,escrow mbna hamzungumzii?
Wewe katoto tuliza gozi wewe. Hiyo ni kesi ya jinai hainaga mwisho. Asiwazingue kwa kusema sijui nini. Lazima akanyee debe huyu.
 
Cyo cheap politics, its about being smart, tunataka kujua hizo pesa zilipotoka ili tuweze jua anachoongea hakijawa influenced na huko pesa zilipotoka. U nid to uz common sense sometym
Upo nje kabisa ya key. Wenzako wanaimba kwa key C wewe unaingia na Key E. Hujui unalosema hapa.
 
Mnataka kukwepesha mada. Issue ya kuwa katoa wapi pesa ya kulipia kipindi haihusiki kabisa. Issue ni je hizo tuhuma alizozitoa ni za kweli au la! kama ni za kweli Je huyu lowasa anafaa kuwa kiongozi?

Kuna Mambo mazito sana Slaa kayaongea kwenye mkutano wake. Hili swala la pesa katoa wap ni cheap politics na ujinga usio na tija katika maendeleo ya nchi yetu.

Lowassa alishasema mwenye ushahidi aende mahakamani.Mbona slaa haendi na ushahidi anao ?
 
EL hawazi kujibu mambo yaliyojibiwa na kamati ya bunge na kumaluza na mahakama na CCM wakaridhika wakampa ubunge na uwenyekiti wa kamati nyeti ya bunge ya ulinzi na usalama ya taifa since 2010 bila kuchukua hatua. Of recently aliteuliwa kumuwakilisha VP kule ARS. Pls let us be seŕious.
 
... Issue ni je hizo tuhuma alizozitoa ni za kweli au la! kama ni za kweli Je huyu lowasa anafaa kuwa kiongozi? ...
Kwa kawaida mtoa tuhuma ndio anayetakiwa kuthibitisha madai yake, sio unatoa tuhuma halafu unataka mtuhumiwa akanushe. Kama ana ushahidi ampeleke mtuhumiwa mahakamani, na kama hawezi kumpeleka basi atulie tu kwani anakuwa hasaidii chochote. Enzi za kila mtu kulalamika zinapita, sasa kama figure kubwa kama yeye analalamika halafu haendi mahakamani, unategemea mlalahoi gani atapeleka mashitaka hayo mahakamani? Akae tu kimya, au aende mahakamani
 
lowassa-noma.jpg

MMGL1515.jpg

14.jpg

Msigombanishe watu sababu ya siasa. Lowassa ni ndugu yetu na kura zetu ni mali yake
 
Ndoo utanyea wewe mkuu lkn sio EL..kama atafunguliwa mastaka..ingawa ninauhakika kwa 100% haiwezekani. .basi fisadi la mafisadi prof..dr jk nalo litaenda kunyea debe..upo hapo mkuu..tuwe fair! ..lkn usitoe povu!
hivi cybercrime law imeanza rasmi?
 
ndio maana mnaitwa wapumbavu. issue hapa ni kama yale aliyoongea ni sahihi au la. kama hakuna hoja dhidi ya madai na tuhuma zilizotolewa bora kukaa kimya.
Mambo aliyosema dr slaa si mageni masikioni pa wengi wetu. Na yeye dr slaa anajua kama wengi wetu tujuavyo kwamba ccm walishaamua "kupotezea" ishu ya richmond. Hii ndo sababu watu hawajiulizi kuhusu ukweli wa aliyosema dr slaa na badala yake wanahoji; katumwa na nani. Swali hili likijibiwa tutajua pia aliyelipia shughuli ile. Nina imani kuwa tutajua mengi kuhusu suala hili tunapokaribia Oct 25.
 
Mnataka kukwepesha mada. Issue ya kuwa katoa wapi pesa ya kulipia kipindi haihusiki kabisa. Issue ni je hizo tuhuma alizozitoa ni za kweli au la! kama ni za kweli Je huyu lowasa anafaa kuwa kiongozi?

Kuna Mambo mazito sana Slaa kayaongea kwenye mkutano wake. Hili swala la pesa katoa wap ni cheap politics na ujinga usio na tija katika maendeleo ya nchi yetu.

Mwl Nyerere alisema huwezi kununua wenzako kama wewe hujanunuliwa. Nani kalipia live coverage ya tv zote hizo kama hajanunuliwa??? Anayelipa mpiga zumari ndiye mchagua wimbo.
 
Sisi tunasafari ya uhakika nyie mnasafari ya matumaini. Kwa ujinga wako na Lowasa mnajipa 100% kwamba mtashinda na kudhani kwamba sasa mkishinda watanzania wasio wa vyama vyenu watahama nchi. Wewe upo na kura moja tu kati ya kura zaidi ya 20,000,000
Endelea na matumaini

Safari ya uhakika kwa kupigiwa kura na wanachama wenu mln4..hapo sawa but kuna wengine bado wana mapenzi ya dhati kwa EL..watampigia!..je unauhakika na kura mln 20?..je asilimia 70 ya vijana walojiandikisha unauhakika watawapa?..tunaongelea kura mkuu..sio blabla zako...hahaha..think twice mkuu..ngoma ni nzito!
 
Hii haiwezi kuwa coincidence zone hizo hata kidogo. Yeye anasema alikuwa a na Dr Mwakyembe kuresearch na siku hiyo hiyo kuanalyse na kupata majibu na kupresent. Sisi ni analysis pia.

1. Siku hiyo akakutana na Dr Mwakyembe hotels hiyo hiyo kwa ulinzi wa usalama wa taifa (na sio polisi mmoja)
2. Siku hiyo hiyo kuna watu au taasisi zikalipia press
3. MC akawa makada wa CCM, akin a Derek
4. Akazungmzia Lowasa kama fisadi mgombea na sio Chenge, Karamagi, Ngeleja, Pro. Mwongo ambao ni mafisadi na wanagombea na hajafanya utafiti wao.

Huhitaji udokta au research kuona it doesn't add up at all.
 
Mnataka kukwepesha mada. Issue ya kuwa katoa wapi pesa ya kulipia kipindi haihusiki kabisa. Issue ni je hizo tuhuma alizozitoa ni za kweli au la! kama ni za kweli Je huyu lowasa anafaa kuwa kiongozi?

Kuna Mambo mazito sana Slaa kayaongea kwenye mkutano wake. Hili swala la pesa katoa wap ni cheap politics na ujinga usio na tija katika maendeleo ya nchi yetu.

Maswali muhimu ni haya!
Kama Dk. Slaa anasema ukweli juu ya kuhusika kwa Mh. Lowassa kwa Richmond mbona hakutoa ushahidi?

Ikiwa ni kweli ana ushahidi dhidi ya Lowassa kwanini atake Mwakyembe na Sitta wamsaidie? - Isiwe anataka tu mdahalo (debate), haitasaidia kitu.

Pesa ya maandalizi ya conference, live brodcast nk. imelipwa na nani? Kama alilipia mwenyewe bado ni mla mihogo?

Mbona alitaja scandal moja tu. Tena yenye ilifanyika miaka mi8 iliopita? Escrow, EPA, uuzaji wa nyumba za serikali.... Ameyasahau?

Anawaambiaje wafuasi wake; wachague nani Oct 25?
 
Kwa kawaida mtoa tuhuma ndio anayetakiwa kuthibitisha madai yake, sio unatoa tuhuma halafu unataka mtuhumiwa akanushe. Kama ana ushahidi ampeleke mtuhumiwa mahakamani, na kama hawezi kumpeleka basi atulie tu kwani anakuwa hasaidii chochote. Enzi za kila mtu kulalamika zinapita, sasa kama figure kubwa kama yeye analalamika halafu haendi mahakamani, unategemea mlalahoi gani atapeleka mashitaka hayo mahakamani? Akae tu kimya, au aende mahakamani
Unapotuhumiwa kuwa wewe umefanya kosa na mtu akaleta ushahidi huu hapa. Wewe utakuwa na nafasi ya kujitetea. Na unatakiwa ujiteteee dhidi ya tuhuma unazotuhumiwa si tofauti na hapo. Na unapoanza kuongea vitu nje ya tuhuma ni uthibitisho kuwa tuhuma ni za kweli na lazima uhukumiwe.

Mbowe anapotuhumiwa kuwa alidanganya watu kuhusu Slaa yupo likizo, kwahiyo mbowe anatakiwa atoe maelezo either kwanini alidanganya au ampinge huyo mtu na aoneshe ushahidi wa ruhusa ya mtu huyo kwa sababu ni mambo ya kiofisi.
Lakini Mbowe akianza kujibu tuhuma kwa kutoa tuhuma hakika mbowe anatakiwa awajibishwe kwa kudanganya umma na kuwatumainisha watu kitu cha uongo.

Ifike wakati tukatae kuburuzwa na watu kama akina Mbowe.
 
Upo nje kabisa ya key. Wenzako wanaimba kwa key C wewe unaingia na Key E. Hujui unalosema hapa.

Nje ya KEY ni mkutano alioufanya Magufuli leo na jumuiya ya wazazi ya CCM. Kama ungeangalia taarifa ya habari ITV, wakati wanaimba ule mwimbo 'Tunaimani na Magufuli,......kweli kweli....Magufuli kweli....' hakukuwa na ARI kama siku ulipoimbwa DODOMA mlipokata jina la Lowassa. Nakumbuka hata mkuu wa kaya alipiga makofi na akasema ''haijawahi kutokea"

Karibu kundini mdau, sisi tu wamoja na wewe ni ndugu yetu. Kura yako kwa Lowassa ni zawadi kwa hii nchi......karibu sana.
 
Mnataka kukwepesha mada. Issue ya kuwa katoa wapi pesa ya kulipia kipindi haihusiki kabisa. Issue ni je hizo tuhuma alizozitoa ni za kweli au la! kama ni za kweli Je huyu lowasa anafaa kuwa kiongozi?

Kuna Mambo mazito sana Slaa kayaongea kwenye mkutano wake. Hili swala la pesa katoa wap ni cheap politics na ujinga usio na tija katika maendeleo ya nchi yetu.

Kwani Jamhuri haina taarifa kamili juu ya Richmond?..Usiwe fwata upepo,kwani Lowasa kupiga hela za Richmond au ni sehemu ya majukumu na maelekezo isipokuwa bosi wake ndio wa kwanza kuulizwa.

Mnapoteza muda sana.Skendo zingine zote ni zaidi ya Richmond mbona hamzungumzii hayo na inajulikana banana?
 
Maendeleo ya nchi? Angekaa kimya na ushahidi huo muda wote huku wananchi tunaumia? Nashukuru sana kwamba kura ni uamuzi wa mtu binafsi.

wewe ni wajana kwenye siasa za sasa ,nakukumbusha
1 aliyasema hayo slaa wakati wa uchanguzi wa jimbo la arumeru kwa mp nasari,
2,wakati wa uchanguzi wa 2010 slaa aliyasema

je alikaa kimia wapi mkuu,

Back
Top Bottom