Omonto wa-hene
Senior Member
- Apr 2, 2012
- 180
- 68
Tusitawaliwe na itikadi za vyama vyetu vya siasa. Alichokifanya kijana Deo Filikunjombe nakuapieni kwa hapa Tanzania hakunaga kama yeye!!!
ww kama nan? Ukitaka hata ww piga kura hata kwa majina saba na yote yatahesabiwa kuwa ni kura na kila jina lililotajwa litahesabiwa kura maana si ndio unaowakubali.
Labda ingekuwa mwizi bora wa mwaka 2012 maana wanasiasa wote ni wezi.
Kwanini mwaka mpya wa serikali tupigie kura mwanasiasa bora, wakati watendaji wa serikali sio wanasiasa?
Kwanini tusipie kura katibu mkuu bora au mkurugenzi bora?
Wiliam malecela
Mweh, kuzunguka koote huku kumbe lengo ni 'kumuua' zaidi Le Muttuz!No mi napingana na wewe...
Kila mtu anapomtaja mtu wake ukae ukijuwa ana kitu alichokiona kwa huyo alomtaja.
So unapoweka vikwazo na kusema mtu aliyemtaja Le Mutuz Le Baharia Le Big Show kuwa anakuharibia siku hayo yanakuwa ni makosa.
Kuwa na Demokrasia mkuu.
Huo unaouleta ni udikteta.
Aliyemtaja William Malecela ana haki kama wewe uliyemtaja JJ Mnyika.
Ingawa ndioo wote tunajuwa kama Willie ni saa iliokosa mshale wa Dakika lakini kama kuna mtu kamtaja basi na aheshimiwe
Leo ni tarh 2/6/2012, na kwa serkali ni mwaka mpya 2013.
Naomba upige kura yako kwa kutaja jina la mwanasiasa kijana ambaye ni bora ktk kipindi hiki cha miez 6 (nusu mwaka) mpaka sasa.
Karibu kwa kura maana kura yako itamotivate viongozi kutekeleza majukumu yao na itatoa tathmini ya jinsi wanavyokubalika ktk jamii mpaka sasa.