Search results

  1. jingalao

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Hii ni historia nyingine inaandikwa baada ya ile ya miaka iliyopita ambapo yanga walijifungisha ili simba isishuke daraja.leo hii Yanga imeamua kucheza game ya kistaarabu ili Simba isihaibike na kusambaratika kwani Simba ni mtani wa jadi. 2-1 ni fair game
  2. jingalao

    Ni wakati sasa kwa media za Tanzania kuonesha ubora wa nchi na sio majanga na vitimbwi!!

    Sijaelewa ni nani aliyewafunza waandishi wetu wa habari yaani Taarifa za habari kwenye T.v ,redio na magazeti zimejaa habari za majanga tu hakuna ubunifu. Kwa asilimia kubwa yapo mema yanayotokea kwenye jamii kwanini sasa jamii inalishwa taarifa za vitimbwi na majanga tu? Huu ni upuuzi na...
  3. jingalao

    Yanga the African galacticos

    Ubingwa huoo
  4. jingalao

    Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

    Ndio naulizia hivi vyama vipo wapi muda huu?
  5. jingalao

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Tujifunze kujitegemea kwa kila kitu...na inawezekana. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
  6. jingalao

    Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

    Kwa uzoefu wangu viongozi wengi ni watu waliopitia mateso makali nyakati za utotoni.yaani ukifuatilia utakuta waliwahi kunyanyaswa na wazazi au walezi kwa namna flani lakini kwa baraka za Mungu waliweza kuvumilia mateso hayo na hatimaye wakaibuka kuwa wasemaji na watetezi wa hali zisizo na usawa...
  7. jingalao

    Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere umekamilika hakuna propaganda ya kuuzuia tena

    umepandwa na mashetani?? jadili hoja na mada effectively usilete kulialia hapa.eti watu walileta mawazo mbadala ...nani huyo? una mfano...mburula wote mlipinga.Unaweza ku-quote wazo mbadala hata moja hapa?Mafa hii usiijadili kinafiki na kiubabaishaji ....
  8. jingalao

    Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere umekamilika hakuna propaganda ya kuuzuia tena

    kuna sehemu nimetaja wivu au unajichechetua tu
  9. jingalao

    Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere umekamilika hakuna propaganda ya kuuzuia tena

    Hongera kwako Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusimama kidete na hatimaye mradi huu mkubwa wa kimkakati na uliopigwa vita na Wakoloni, Wakoloni mamboleo,vibaraka wa wakoloni na wasiojitambua ...hatimaye umekamilika na umeanza kutoa huduma. Mradi huu ni mkombozi wa nchi na kamwe kama mzalendo...
  10. jingalao

    Ipo haja ya mainjinia wa TANESCO kufanyiwa mohojiano ya kiuchunguzi umeme unapokatika nchi nzima

    Umesema vyema Inatukumbusha kuwajibika kama wanataaluma.zipo baaadhi ya kada zibafanya blunders lakini zimejifucha kwenye taaluma...
  11. jingalao

    Ipo haja ya mainjinia wa TANESCO kufanyiwa mohojiano ya kiuchunguzi umeme unapokatika nchi nzima

    Nikijitambua kama mzalendo kamili nchini sitasita kutoa maoni yangu kuntu hususani linapokuja swala la umeme kukatika nchi nzima kwa visingizio visivyo na mashiko kwa wanasayansi kama mimi. Tanesko sio tu shirika kama yalivyo mashirika mengine ni shirika la kimkakati na la kiusalama. Kukatika...
  12. jingalao

    Aprili 1, 2024: Gridi ya Taifa yapata Hitilafu, TANESCO waomba radhi

    Sisi Mainjinia wa mtaani tungependa kujua kwa kina juu ya hii hitilafu inayokata umeme nchi nzima ni hitilafu inayohisu mashine ipi au nyaya zipi zikiwa sehemu gani na sababu yake ni nini? Bila hivyo hawa mainjinia wa mchongo wote sukuma ndani. there is no accidental fault in science KWA...
Back
Top Bottom