Search results

  1. TAMKO

    Kwanini viongozi wa CHADEMA wanakiua chama?

    Nduguzangu wanachadema, Mkumbuke kila mtu amewekeza Nguvu ya namna yoyote kuunda CDM. Na wengine mmeenda mbali na Kuuimarisha Upinzani, Lazima Tuongelee Chama. Viongozi Wetu Wamekuwa na Maamuzi ya kiuwendawazimu yanayo Dhoofisha Chama, Mawazo yasiyo na Mbadala, Mawazo ya Kukurupuka yasiyo na...
  2. TAMKO

    Uchaguzi 2020 Kwani CCM mlitakaje!? Lissu ana kosa gani?

    Ajabu Sana, CCM na Serikali mlitakaje kwani! Kwamba Lissu asimame Kwenye Majukwaa kama Paroko anaye ongoza Misa au Kama msanii! Mlitakaje ndugu zangu! Lissu Yuko kwenye Battle Field , Anatafuta anacho Kitafuta, anapigana Vita, Kwenye Vita hatuchaguliani Siraha, Chochote Cha Kuua na Kupiga Huwa...
  3. TAMKO

    Kusoma sio kuelimika, Tundu Lissu Sheria hujaijua bado

    Watu wenye Akili Za Uji wakisoma kichwa cha Habari Akili zao zinawaza ni MATAGA Huyu. Angalia Rekodi zangu kwanza. Lissu anapaka Kivyesi Siasa Za Upinzani Nchini lazima TUSEMA ili UPINZANI nchini Uendelee Kuwepo Kwa Heshima Yake. Suala hili la USHOGA Nduguzangu sio tu Litadidimiza CHADEMA...
  4. TAMKO

    Lakini Mbowe unatukosea

    Mzee Unatukosea, Unatunyima Raha ya Siasa Ndani ya Nchi hii. HASIRA, VISASI NA CHUKI Havijengi chair wetu. Kuna MATUKIO najaribu Kuunganisha Dots kupata Sentensi Kamili. Na Picha Inaanza Kuja, I am sorry Dears MBOWE ANATUMIKA KUUA CHAMA. Why 1: Chama Ni Cha Kidemokrasia Lakini hakiendeshwi...
  5. TAMKO

    Freeman Mbowe unatukosea..!

    Mzee Unatukosea, Unatunyima Raha ya Siasa Ndani ya Nchi hii. HASIRA, VISASI NA CHUKI Havijengi chair wetu. Kuna MATUKIO najaribu Kuunganisha Dots kupata Sentensi Kamili. Na Picha Inaanza Kuja, I am sorry Dears MBOWE ANATUMIKA KUUA CHAMA. Why 1: Chama Ni Cha Kidemokrasia Lakini hakiendeshwi...
  6. TAMKO

    Pole mwenyekiti wetu Mbowe, sikufundishi kazi ila ujue kazi hii ni yetu wote

    Salaam Mwenyekiti wangu.. Leo Tarehe 5April Najaribu Kuvaa kiatu chako Kwa mtazamo wa Kila kitu Najua Uko kwenye wakati Mgumu Unajipa Mtima wa kusonga Mbele Labda maisha Yatapata Direction. Nimepitia mitandaoni, majukwaa mengi ya Kijamii NIMESOMA Comments kwenye posts mbalimbali hasa zinazo...
  7. TAMKO

    Je, nani alifinance project ya ujenzi wa Safina?

    Baada ya Mwenyezi Mungu kumpa Mchoro kamili wa Ramani ya SAFINA nabii NUHU:- Unadhani Kwa Ufahamu unaoujua wewe au Kwa Dini uliyoisoma wewe, Huyu Nabii Nuhu alitengenezaje Boti ile Kubwa zaidi Duniani.. alipatawapi material na Nani Alifinance Project Yote!
  8. TAMKO

    NIDA IMEKWAMA KUTOA VITAMBULISHO?

    NIDA NIDA NIDA Naskia ZOEZI LA Utoaji wa Vitambulisho vya Taifa LIMEKWAMA
  9. TAMKO

    Bomoabomoa kulikumba jengo la PPF-House Posta?

    Ndugu Wanajamvi, nimeipitia Sheria hii ya BOMOABOMOA Imenistua Kidogo. Fafanuzi ya Ssheria hii inavyosema Kwamba kutokea Askari Monument, ukakamata barabara ya Umoja wa mataifa na kunyokea Morogoro Road kiasi Cha Kilometa 10 (ambazo ukipima zinaishia Ubungo) ni Upana wa mita 120 yaani 60 Kila...
  10. TAMKO

    Mkuu wa nchi HANA maadui nyumbani

    Nitengue na Kubadili jumla fikra hizi ambazo wakuu wa nchi wanazo juu ya wananchi wao kuwaza kwamba kati ya raia wake wamo maadui zake.. fikra hii ni ya kinyonge, na fikra dhaifu sana, na fikra inayodidimisha utashi wa wakuu wa nchi wengi. kujenga na kuhifadhi nadharia kichwani kwamba kati ya...
  11. TAMKO

    Barua yangu ya wazi kwa Mweshimiwa Godless Lema (Mb)

    Godi Kwanza niseme wazi nakukubali, katika Kikosi cha Chadema wewe nakukubali zaidi. Ninazo sababu zakusema nakukubali lakini nizihifadhi Kwa Leo. Nimestushwa mno baada ya kukusikia na wewe umeingilika kwenye Inshu ya Ukuta. Najiuliza umekiingia Kwa kujua au hukujuzwa mantiki yake. Na Kwa...
  12. TAMKO

    Naomba Lowassa uniweke sawa hapa Mzee wangu ninayekuheshimu

    Mzee wangu, heshima Nyingi kwako.. unakumbuka uliwahi kuniambia(sidhani kama uliwaambia Na wenzangu sina Hakika) kwamba Hutaki kwenda Ikulu damu ya Mtu ikimwagika. Kwa kweli That time kwenye Uchaguzi, nchi ilikuwa imekunoga, kama kiberiti, ungewasha chaa kingelipuka kitu nchi nzima, lakini Kwa...
  13. TAMKO

    Mch: Gwajima: "Dai Risiti kama unavyo dai ujazo wa roho.."

    "Ili Nchi Yetu iendelee lazima watu walipe kodi, Dai risiti yako halali kama unavyo dai ujazo wa Roho unapo fanya manunuzi yako ili serikali ipate mapato nchi iende mbele..." Sehemu ya Maneno katika kwa maelfu ya waumini wake kanisani kwake katika mahubiri yake Jumapili hii (leo) akiwaasa watu...
  14. TAMKO

    Mch Gwajima atoa "comments" zake juu ya Baraza la Mawaziri

    Akiongea machache kanisani kwake leo hii kwenye maombi ya kumwombea raisi na nchi mpya katika ibaada iliyofurika watu mbalimbali wakiwemo baadhi ya mawaziri au wawakikishi wao na baadhi ya wabunge walioenda kupata baraka za maombi mch Gwajima alisema. "Ni kweli mikono ni ile ile, miguu ni ile...
  15. TAMKO

    Mch. Gwajima asifu utendaji wa Magufuli, Dr Slaa ampongeza Gwajima

    "Mhe Magufuli hayo unayo yafanya ndio watanzania tumekuwa tukiyapigia kelele miaka yote na tukaonekana wabaya. Tuko sambamba na wewe tunakuunga mkono safisha nchi.. usilegeze upanga wako wala usijali vitisho vyao. Tunakuombea ushujaa zaidi na roho ya Mungu iwe nawe" Sehemu ya mahuburi yake leo...
  16. TAMKO

    Naanza kunusa kitu cha Moto ACT Wazalendo

    Mwalimu kaijage, ni kama nanusa kitu huko ACT, naona movement za Kumng'oa Zitto kwenye uenyekiti na kumsimika ANNA.. Naona waziwazi na kama unijuavyo nikinusa sikosei . Ngojea uone after uchaguzi..
  17. TAMKO

    PESA Zetu MTAZIRUDISHA..!

    Endeleeni kupokea PESA chafu. Wanaowapa wanaripoti kila kitu. MTAZIRUDISHA TU. Jinai HAIFI.. mnadanganywa na nyie mnaingia kichwakichwa. Akili za kurogwa kuamini mtu anaweza kukupa now more than 50 mil kwa umaskini Huu wa nchi yetu kisha ukaachwa hivi hivi. Baada ya Uchaguzi , mkono wa...
  18. TAMKO

    CCM Mmezidi kukwepa swali TAFADHALINI mnijibu swali langu hili mbona mnakwepa?

    CCM mnaomba ridhaa ya kuchaguliwa tena ili mpewe serikali mlete maendeleo nauliza nani yuko na SERIKALI LEO??! Tokea Uhuru hadi Leo nani yuko na NCHI????? ..Jibuni swali bana.
  19. TAMKO

    CCM tulieni basi jamani si mambo yote iko sawa..? makelele ya nini?

    Watafiti si wamekwisha sema mtashinda kwa asilimia nyingi tu, Sasa kwanini kigoda kiwe cha Moto, tulizeni makalio chini tungojee hiyo 25-October Kwani kuna umbali gani? Mbona makelele mengii, Mara muwaite walimu kuwahadaa, Mara bodaboda hadi mnawafungia ndani na kuwatisha, ya nini yote hayo...
  20. TAMKO

    Sababu kubwa sana ya CCM kushindwa hii hapa

    Kura zitakuwa za siri. Wana CCM wengi wamepania sana kukipiga chini Chama chao. Matatizo ya ELIMU, Maji , matibabu na mengineyo hayawapati wapinzani tu ila pia na wao. Wana CCM wengi hata ukiwaangalia usoni ni kama wanasukumizwa tu. Wanatishwa na wengine wanaamua kujitia uchizi na kuvuta...
Back
Top Bottom