Naanza kunusa kitu cha Moto ACT Wazalendo

Mwalimu kaijage, ni kama nanusa kitu huko ACT, naona movement za Kumng'oa Zitto kwenye uenyekiti na kumsimika ANNA.. Naona waziwazi na kama unijuavyo nikinusa sikosei .

Ngojea uone after uchaguzi..

Unataka ACT kuwe na wenyeviti wangapi? Zito ni kiongozi mkuu wa chama, ndo anafuata mwenyekiti.

Yeye ndo icon ya chama. Cheo chake hakina ukomo wala hakipigwi kura. Yeye ndiye Alfa na Omega ktk hicho chama.

Halfu yako umenusa vibaya,
 
kuna haja ya kumweka huyu aya..touuuullah busy ili nchi iende na waandishi wasichafue sana wino kuandika upuuzi unaompa mpuuzi nafasi ya kucheze tunu za nchi.
 
Raisi ni LOWASSA. Hii sio kunusa tena ni Confirmed . HATA kama UVCCM watapewa usukani wa kuongoza TUME, hakuna wanacho weza kufanya kwa sasa.WATU WAKIAMUA MWENYEZI MUNGU NDIYE KAAMUA. nani wa kushindana na MOLA??.. Ukijaribu kushindana na MOLA utakufa tu..MOLA HACHEZEWI..

Maana hamna jinsi ni lazima watoke tuu.¥¥
2015-2020
 
Maana hamna jinsi ni lazima watoke tuu.
2015-2020 lowassa.
 
Raisi ni LOWASSA. Hii sio kunusa tena ni Confirmed . HATA kama UVCCM watapewa usukani wa kuongoza TUME, hakuna wanacho weza kufanya kwa sasa.WATU WAKIAMUA MWENYEZI MUNGU NDIYE KAAMUA. nani wa kushindana na MOLA??.. Ukijaribu kushindana na MOLA utakufa tu..MOLA HACHEZEWI..

Maana hamna jinsi ni lazima watoke tuu.¥¥
2015-2020 lowassa.
 
Mwalimu kaijage, ni kama nanusa kitu huko ACT, naona movement za Kumng'oa Zitto kwenye uenyekiti na kumsimika ANNA.. Naona waziwazi na kama unijuavyo nikinusa sikosei .

Ngojea uone after uchaguzi..

Hivi kumbe zito ni Mwenyekiti wa ACT ? Na kumbe Anna sio Mwenyekiti wa ACT? Kweli Mimi sipo Tanzania
 
We hujielewi kwani mwenyekiti mpaka sasa si mama Anna sasa wamsimike vipi mara ya pili?
Zitto kiongozi mkuu wa chama,labda utuambie kuwa wanataka watoe hapo.
 
Mwalimu kaijage, ni kama nanusa kitu huko ACT, naona movement za Kumng'oa Zitto kwenye uenyekiti na kumsimika ANNA.. Naona waziwazi na kama unijuavyo nikinusa sikosei .

Ngojea uone after uchaguzi..
Kwani Zitto ni mwenyekiti?
Dah, Zitto kawabana kweli mpaka mnamuota.
 
Mwalimu kaijage, ni kama nanusa kitu huko ACT, naona movement za Kumng'oa Zitto kwenye uenyekiti na kumsimika ANNA.. Naona waziwazi na kama unijuavyo nikinusa sikosei .

Ngojea uone after uchaguzi..

wewe jamaa utakuwa mgonjwa mbona mama anna ndiyo mwenyekiti mpaka leo?
 
Unataka ACT kuwe na wenyeviti wangapi? Zito ni kiongozi mkuu wa chama, ndo anafuata mwenyekiti.

Yeye ndo icon ya chama. Cheo chake hakina ukomo wala hakipigwi kura. Yeye ndiye Alfa na Omega ktk hicho chama.

Halfu yako umenusa vibaya,

katiba yao inaruhusu?!!
 
Ila matokeo yenu mchukue siku ikifika, mkiona mikutano yenu inajaa esabuni na wasiofika ndio mjue hatma yenu. Mkipeta sana 35%.

Raisi ni LOWASSA. Hii sio kunusa tena ni Confirmed . HATA kama UVCCM watapewa usukani wa kuongoza TUME, hakuna wanacho weza kufanya kwa sasa.WATU WAKIAMUA MWENYEZI MUNGU NDIYE KAAMUA. nani wa kushindana na MOLA??.. Ukijaribu kushindana na MOLA utakufa tu..MOLA HACHEZEWI..
 
...hicho chama sipendi kusikia habari zake toka niambiwe kuna mtu mmoja tu ndio mwenye uwezo wa kufikiria!!
wengine wote viazi wanafuata hapo nyuma...!
 
Mwalimu kaijage, ni kama nanusa kitu huko ACT, naona movement za Kumng'oa Zitto kwenye uenyekiti na kumsimika ANNA.. Naona waziwazi na kama unijuavyo nikinusa sikosei .

Ngojea uone after uchaguzi..

huyo Anna mbona ndie mwenyekiti?
 
Back
Top Bottom