Search results

  1. K

    Ajali ya Mh Regia - tuna tatizo

    hii tabia kila mara itokeapo ajali ama majanga tunaishia kusema kazi ya mungu aina makosa itatusumbua sana; kinachopaswa kuangalia ama kujadili ni je mambo gani yanasababisha ajali hizi?je?kwa mfano barabara aliyopatia ajali regia ingekua na upana wa kutosha na yeye mwenyewe kufata sheria za...
  2. K

    Kwanini Watanzania mnapotoshwa kirahisi na Lowassa?

    kwani dr. SLAA si anatoka kaskazin na ni bora kuliko EL? hata hivyo ukanda wa nini?
  3. K

    Prince Charles na mke wake washindwa kuingia mjini Arusha

    mbona kuna mchanganyo ?mara wengine wamemuona mara hakuwa na ratiba ya arusha mjini mara ameishia arumeru sasa tumuamini nani?
  4. K

    Polisi Central Arusha: Shangwe na wimbo wa Taifa vyarindima

    vipi?mbona nasikia baadhi ya viongozi wamekamatwa?
  5. K

    CHADEMA mmeshikwa, basi shikamana

    hilo nalo neno mkuu; lazima kujikita huko vijijini ambako bado watu hawajaamka bado viva chadema
  6. K

    CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

    yes makamanda kukomaa mpaka kieleweke wanatufanya vichaa sisi ngoja nisogee kiwanjani ukombozi si lelemama
  7. K

    Mwanza hali si shwari, risasi za moto na mabom ya machozi yapigwa

    UTINGO umefafanua vema sana sana' si busara kufungamana sana na dini hakika uhusiano wako mzuri na muumba wako ndio utakao kupa amani ya kweli apa duniani na mbinguni
  8. K

    Aliyemtisha Rais Kikwete....

    hakuna aliyemtisha tatizo yale yote ilikuwa ni usanii mtupu hana uwezo huo.tumsamehe bure
  9. K

    Nina wazo la kutunga filamu ya Dr. Slaa vs Lowassa

    wazo la maana sana,,,
  10. K

    maendeleo ya arusha mjin

    kwa nayefahamu Arusha mjini na vitongoji vyake kuna kero ndogondogo mfano barabara za mitaani kama levolosi,kaloleni,mbauda, na sehemu nyingine.Na ninavyofahamu Mbunge wa eneo husika anao ushawishi mkubwa wa kuweza kuwahamasisha wananchi ama kuisukuma serikali ili kuondoa kero hizi.Ushauri wangu...
  11. K

    Maendeleo Arusha mjini

    Kwa ninavyo fahamu mimi Mbunge ni chachu kubwa ya maendeleo katika jimbo husika hivyo tunatarajia mabadiliko makubwa kutoka kwa mh Godbless Lema walao kupambana kero ndogo ndogo zikiwemo barabara za mitaa kama makao mapya kaloleni na sehemu nyinginezo ikiwemo mjini kati. Pia kero za msongamano...
  12. K

    sarafu yetu vs ukuaji wa uchumi

    hivi kweli kwa jinsi sarafu yetu inavyo poromoka dhidi ya dolar inashabiana na yanayosemwa kuwa uchumi wetu unakuwa kwa kasi?wenye euelewa juu ya hili naomba ufafanuzi
  13. K

    Mabalozi wa CCM Igunga wataka kujivua gamba; Wadai rushwa ilitumika

    huu ni unafki wa hali ya juu, chonde chonde CHADEMA msipende watu wa jinsi hii wana asili ya usaliti
  14. K

    Mabalozi wa CCM Igunga wataka kujivua gamba; Wadai rushwa ilitumika

    nadhani tatizo ni mgao tu, hawa hawana lolote ni sehemu ya wanafki ndani ya ccm, tena nashauri CHADEMA isipende sana wanachama wenye asili ya ccm wengi wao hawana nia ya kweli ukombozi wa nchi wamekaa kinafki nafki tu.
Back
Top Bottom