maendeleo ya arusha mjin

kaluu

Member
Oct 5, 2011
17
1
kwa nayefahamu Arusha mjini na vitongoji vyake kuna kero ndogondogo mfano barabara za mitaani kama levolosi,kaloleni,mbauda, na sehemu nyingine.Na ninavyofahamu Mbunge wa eneo husika anao ushawishi mkubwa wa kuweza kuwahamasisha wananchi ama kuisukuma serikali ili kuondoa kero hizi.Ushauri wangu kwa muheshimiwa Lema(Mbunge wa Arusha)fanya jitihada zako binafsi kwa kushirikisha serikali na wananchi kwa ujumla kwani kero hizi zinawagusa sana wananchi ambao walikuchagua kwa matumaini makubwa.Nawasilisha
 
ushauri mzuri ila nashauri uende kwa wabunge wote wa JMT maana tatizo la barabara ni la kitaifa.
 
ushauri mzuri sana huo ila kuna mambo mawili; (1) nashauri uwe wa wabunge wote wa JMT maana tatizo la barabara ni la kitaifa na (2)kama unakerwa na ubovu wa barabara za Jimbo hilo,usiikane historia. Mh. G. Lema (MB) hata mwaka hajamaliza unalalama yote hayo, anza na Mh. Meya aliyepita aliyetafuna pesa za ujenzi wa barabara akazijengea ghorofa pale kilimani....aliyejifungia ndani siku 4 baada ya matokeo ya udiwani kutoka kwamba ameshindwa.
 
Ni katika siasa pekee unaweza kuwabadilisha watu na kumweka mtu kama Mhe. Lema mbunge na kumwacha mfanyabiashara na mbunge wa zamani Mhe. Mrema na wananchi wakaona sawa, afadhali ikawa potelea mbali. Sijui lakini CDM hawana government fiscal machinery yoyote na sion wakiweza kuleta maendeleo katika nji wenu wa Arusha. Kuwa opportunistic ni bora sana katika maisha. Sasa jimbo la Arusha CCM wamelitoa kafara na akapewa maskini asiye na michongo sasa kuleni jeuri yenu.

Nunueni TOYO ili kukwepa adha ya uhitaji wa barabara bora. Viwnda siowezi kuzungumzia kwa kuwa sidhani kama wanaweza hawa jamaa zetu. Ndiyo tunapenda mabadiliko lakini wimbi mahsusi la mabadiliko halijaja. Hii kwa sasa ni rabsha rabsha tu na uwongo mwingi. Katika dini fulani wanadai manabii wa uongo. Sasa hii ni era ya manabii wa uongo; waukweli bado sana labda mwaka 2100
 
kwa nayefahamu Arusha mjini na vitongoji vyake kuna kero ndogondogo mfano barabara za mitaani kama levolosi,kaloleni,mbauda, na sehemu nyingine.Na ninavyofahamu Mbunge wa eneo husika anao ushawishi mkubwa wa kuweza kuwahamasisha wananchi ama kuisukuma serikali ili kuondoa kero hizi.Ushauri wangu kwa muheshimiwa Lema(Mbunge wa Arusha)fanya jitihada zako binafsi kwa kushirikisha serikali na wananchi kwa ujumla kwani kero hizi zinawagusa sana wananchi ambao walikuchagua kwa matumaini makubwa.Nawasilisha
Akili yako mbovu, kwani ofisi ya mbunge wako huijui ilipo, au unataka kujipatia umaarufu hapa jf ?Wewe mwenyewe umefanya juhudi gani kuwahamasisha wajinga wenzako wa sisiemu hapo Arusha ambao kila kukichwa ni kujadili mgombea wa uraisi wa 2015. Peleka uchuro wako huko.
 
nimtukane au niache bro......... yani nahasira naweza kufa any way ... asante mungu kwa moyo ulionipa

Back
Top Bottom