Search results

  1. M

    pspf,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,ps pf

    duh maneno ni mengi sana huku mtaani,kila mtu na lake'nauliza ni kweli watu wameisha itwa kuanza kazi? :party: :smow:
  2. M

    Pspf....................pspf.. ................pspf

    Wadau naomba juzwa mh imekuwa muda sana tangu 2fanye oral interview hakuna habari yeyote juu ya lini au nani kaitwa anza kazi,plz mwenye updates plz weka jamvini
  3. M

    Pspf wadau vipi maana walisema may kulikoni?

    Members vp mwenye updates atujuze
  4. M

    pspf kimyaaaaaaaaaa

    wadau naomba kuwasilisha,bado kimya?au kashaliwa manyoya lini 2tayaona:frusty:
  5. M

    Tanzania Aviation University College, chuo cha tapeli

    wadau na watu wenye mapenzi mema hata ukaguzi wa chuo hicho ulifanywa na afisa mmoja tu toka TCAA NA KUPEWA mlungula wa laki 3,kweli ipo haja waziri husika aende akajionee madudu haya na siyo kukaa tu ofisini huku watanzania wakiumizwa na matapeli wachache
  6. M

    Tanzania Aviation University College, chuo cha tapeli

    mbaya zaidi wanafunzi wakihojina kudai hak zao za msingi jamaa huwafukuza,mh inauma sana plz wadau huyu jamaa ni tapeli sana kwani amewahi fukuzwa ktk majengo ya tazara kwa kushindwa kulipia kodi,kahamia tabata uchochoroni ili awaibie watu jamani wana JF nendeni mkajionee
  7. M

    Tanzania Aviation University College, chuo cha tapeli

    Wadau msaada mdogo wangu katapeliwa na chuo feki cha anga cha tapeli Chalanga kipo tabata magengeni ambacho hakina usajili lakini mamlaka husika TCAA ikishindwa kumwajibisha jamaa mwenye chuo. Nendeni CRDB Bank, Tabata mkajionee nanma utapeli unavyofanyika kwani watoto wa masikini wanatozwa...
  8. M

    Msaada haraka sana:

    binti wa SEPETU naomba uwe wangu nikujengee heshima wadau naombeni msaada wa mawazo namna gani napata access ya haka kabinti,nko serious ndugu zangu
  9. M

    Msaada haraka sana:

    :playball: Wadau niko kwa kijiji hadi sasa sielewi kama nomino yangu ilitolewa ktk shortilist za uhamiaji,nimekosa access ya gazeti plz niangalizieni wadau ndimi EMMANUEL BUdodi :crying: :welcome: :frusty: :amen...
  10. M

    P spf hiyooo...

    :frusty:Wadau last week panel ya kushortlist ilikutana but up to now hamna kinacho eleweka,kama kuna mdau mwenyewe nyepesi atujuze hapa jamvini:bounce:
  11. M

    Pspf jamani kunani?

    :playball:Wadau naomba kuuliza vp wajombawashaita watu ktk interview au ndo imekula kwetu:wink:
  12. M

    Manispaa ya temeke imeoza:waalimu waambiwa wawe wavumilivu tangu february hadi leo hawajalipwa pesa

    Wadau hii kweli ni haki?tangu waalimu waajiriwe february hadi leo hawajalipwa pesa za nauli,mizigo na wategemezi wao huku wakipigwa danadana wasijue nn cha kufanya|ama kweli inatia uchungu by mwanaharakati
  13. M

    Ajira - waalimu wa geography na kiswahili au history.

    nina uzoefu wa miaka 3,ninaishi dar pia nina b.a with education in history and kiswahili,,my number is 0717776981
  14. M

    M,anispaa zinazingua hasa dar es saalam,waalimu wapya bado hakija eleweka

    Wadau cc waalimu wapya tuliopangiwa kazi ktk mikoa mbalimbali tunaibiwa,subsistance allowance ni bei gani kwa jijij na mikoa? afu ni cku ngp?tetesi eti mwaka huu wanalipa cku 7 tu'kiasi hakijulikani ss ni waraka upi unasema hayo mana hawatuonyeshi.mwenye data atujuze
  15. M

    Natafuta kazi ya ualimu mm ni graduate ktk masomo ya historia na kiswahili

    Uzoefu ninao zaidi ya miaka 3,nipo dar,contact me;0717 776981
  16. M

    heslb mwenye taarifa lini interview?

    mh utata m2pu no uvumi wala nn
  17. M

    heslb

    mwenye kinachoendelea heslb atujuze mana mh kibaha mchujo haifahamiki nn next:nerd:
  18. M

    heslb,mchujo wa kibaha vipi?nn kinafuatia 2juzane ma interview lini

    duh kuwa serious 2po bush mzeeya kama un2rusha
Back
Top Bottom