Search results

  1. Y

    Equivalent kilio chetu vipi? Na hii serikali

    Sisi ni wanafunzi wa equivalent je kilio chetu sisi tufanyeje kwani mpaka sasa hata hujui kinachoendelea na mlisema watu wasayansi watapewa mkopo asilimia mia moja je, sisi ambao tuna- equivalent hatutakiwi kupata haki hiyo ya msingi. Wengi wetu tumemaliza d.i.t, mist, arusha tech, karume, na...
  2. Y

    Equivalent hoii mwaka huu

    Kijana uhakika upo, wewe jaribu kuuliza kwa waombaji ambao wameomba mwaka huu hicho kitu kipo. Ndo wameanza kuwaumiza vijana wetu.
  3. Y

    Equivalent hoii mwaka huu

    Baada ya serikali kukaaa na wanayoita bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu wameamua kuwatosa vijana wenye sifa linganishi kupata mikopo kwa kutoa sababu ambazo hazina mpango wowote, kwani hawa vijana hawana haki ya kupata mikopo? Enzi za mungai, msolla na maghembe hawakuliona hili suala...
  4. Y

    Equivalent sasa hawatujali

    Kwanii serikali hii sasa hivi inasema waombaji wa sifa linganishi hawawezi kupata mkopo kwa sababu ambazo hazina miguuu wala mikono ni mkia tu ambao siku zote nyuma unafuata kichwa kiendako, bodi isifanye mchezo na elimu za watu wala isilete longolongo kwenye elimu, wanafunzi wakati wanomba...
  5. Y

    HESLB (BODI) na EQUIVALENT

    hawa bodi kwanza wametudharau kinoma, kwani hakuna mtu mmoja wa Equivalent ambaye amepata au jina lake limekosewa kwenye orodha na wa waombaji waliopata. sisi hii bodi mpya hatuihitaji kwani imeharibu kabisa mfumo wa elimu hapa Tz, hivi hawa hawakusoma kwa njia hii au wote ambao wapo bodi...
  6. Y

    Elimu ya bongo

    ndugu wadau wa Elimu Tz, hii sasa inatisha mno kwani pamoja nakuwa na bodi mpya ya elimu lakini hamna ambacho kitaenda kufanyika kwani mwaka huu wanasema kuwa mkopo haitatolewa kwa waombaji wa sifa linganishi (Equivalent Qualification) ni bora wangetuambia tusiombe kwa kupitia ile System yao...
Back
Top Bottom