Search results

  1. bezos2019

    Nunua pakti moja ya vikombe 50 kwa Tsh. 8000/=

    0787 345 816 nipigie. Kwa 8,000/= tu unapata pakti ya vikombe 50. Nipigie kwa idadi yoyote ntakuletea, Dar ama mkoa wowote.
  2. bezos2019

    Sakata Mkataba wa Bandari: Wakili Mwabukusi asema asiyetaka kukosolewa aondoke kwenye ofisi za Umma

    Asilimia kubwa ya wanaopinga mkataba (IGA) Hawapingi mkataba (IGA) wa bandari, kwakua ili kupinga mkataba, ni lazima uanze na sheria zitakazo ongoza mkataba kwanza, kabla ya yaliyomo, kwakua yaliyomo ni lazima yafuate sheria. Hii ni kama tu unataka kupinga kwa nia njema ya taifa. Usipofanya...
  3. bezos2019

    Kuhusu bandari, tatizo ni wakuu wa mashirika au tatizo ni mkuu wa nchi?

    Asilimia kubwa ya wanaopinga mkataba (IGA) Hawapingi mkataba (IGA) wa bandari, kwakua ili kupinga mkataba, ni lazima uanze na sheria zitakazo ongoza mkataba kwanza, kabla ya yaliyomo, kwakua yaliyomo ni lazima yafuate sheria. Hii ni kama tu unataka kupinga kwa nia njema ya taifa. Usipofanya...
  4. bezos2019

    Maswali yangu kuhusu Mkataba DP World

    Asilimia kubwa ya wanaopinga mkataba (IGA) Hawapingi mkataba (IGA) wa bandari, kwakua ili kupinga mkataba, ni lazima uanze na sheria zitakazo ongoza mkataba kwanza, kabla ya yaliyomo, kwakua yaliyomo ni lazima yafuate sheria. Hii ni kama tu unataka kupinga kwa nia njema ya taifa. Usipofanya...
  5. bezos2019

    Bora Wachina wa Bandari ya Bagamoyo kuliko Waarabu wa DP World

    Asilimia kubwa ya wanaopinga mkataba (IGA) Hawapingi mkataba (IGA) wa bandari, kwakua ili kupinga mkataba, ni lazima uanze na sheria zitakazo ongoza mkataba kwanza, kabla ya yaliyomo, kwakua yaliyomo ni lazima yafuate sheria. Hii ni kama tu unataka kupinga kwa nia njema ya taifa. Usipofanya...
  6. bezos2019

    Mzee Butiku: Mkataba wa Bandari umeshapitishwa, wanaposema tuzungumze, tuzungumze nini?

    Asilimia kubwa ya wanaopinga mkataba (IGA) Hawapingi mkataba (IGA) wa bandari, kwakua ili kupinga mkataba, ni lazima uanze na sheria zitakazo ongoza mkataba kwanza, kabla ya yaliyomo, kwakua yaliyomo ni lazima yafuate sheria. Hii ni kama tu unataka kupinga kwa nia njema ya taifa. Usipofanya...
  7. bezos2019

    Tunawezaje kuendesha nchi tukashindwa kuendesha bandari?

    Asilimia kubwa ya wanaopinga mkataba (IGA) Hawapingi mkataba (IGA) wa bandari, kwakua ili kupinga mkataba, ni lazima uanze na sheria zitakazo ongoza mkataba kwanza, kabla ya yaliyomo, kwakua yaliyomo ni lazima yafuate sheria. Hii ni kama tu unataka kupinga kwa nia njema ya taifa. Usipofanya...
  8. bezos2019

    Hoja za Uislam ni hoja binafsi,tunachotaka bandari yetu isiuzwe,full stop.

    Asilimia kubwa ya wanaopinga mkataba (IGA) Hawapingi mkataba (IGA) wa bandari, kwakua ili kupinga mkataba, ni lazima uanze na sheria zitakazo ongoza mkataba kwanza, kabla ya yaliyomo, kwakua yaliyomo ni lazima yafuate sheria. Hii ni kama tu unataka kupinga kwa nia njema ya taifa. Usipofanya...
  9. bezos2019

    Shetani huvaa Prada, ulaghai ufanikiwao umechanganywa na ukweli

    English law, sio laws of England, tuandike kama ilivyo kwenye mkataba. Nakuuliza hunijibu unaelewa maana ya Barrister? Kama huelewi inachangia mtazamo wako, kama unaelewa, ufafanuzi wa ziada hauhitajiki. Lakini kuhusu English law ni sentensi ya kwanza kwenye kipengelecha 21, sentensi ya pili...
  10. bezos2019

    Shetani huvaa Prada, ulaghai ufanikiwao umechanganywa na ukweli

    Hiyo ndio executive summary. Si unajua wengi wenu mkataba mmesomewa.
  11. bezos2019

    Shetani huvaa Prada, ulaghai ufanikiwao umechanganywa na ukweli

    Ndio nazijua, ndio hizi tulizorithi, tunazifanyia amendment tu, ndio maana mahakamani unaweza kutumia judgment ya kesi kutoka nchi ya common wealth mpaka leo. Ama hutambui hilo. Unaelewa maana ya Barrister?
  12. bezos2019

    Shetani huvaa Prada, ulaghai ufanikiwao umechanganywa na ukweli

    Asilimia kubwa ya wanaopinga mkataba (IGA) Hawapingi mkataba (IGA) wa bandari, kwakua ili kupinga mkataba, ni lazima uanze na sheria zitakazo ongoza mkataba kwanza, kabla ya yaliyomo, kwakua yaliyomo ni lazima yafuate sheria. Hii ni kama tu unataka kupinga kwa nia njema ya taifa. Usipofanya...
  13. bezos2019

    Ushoga ni tatizo, tupinge na kusali /kuswali

    Jambo liitwe kwa jina sahihi ni UBASHA sio ushoga
  14. bezos2019

    Wabunge kama kweli mnalipenda taifa hili na kizazi chake tungeni sheria kupiga marufuku ushoga

    Mambo lazima yaitwe kwa lugha sahihi, ni UBASHA sio ushoga
  15. bezos2019

    Acacia yaruhusiwa kuendelea kusafirisha madini kutoka mgodi wa North Mara

    Aliweza je kuuza hisa DSE bila kutambuliwa, anyway propaganda Za wakati ule
  16. bezos2019

    Wanafunzi wa Law School wengi ni vilaza, walipata Division 3 au 2 sekondari

    Kwanini Hali hii haionekani kwenye profession nyingine kama accounting, engineering, medicine? Kuna wengine wanasomea masters pili na distinction kutoka vyuo vinavyoongoza Afrika. Kuna problem na walimu pale, na kwasababu lipi Kimmoja tu Tz nzima problem ni kubwa zaidi. Warudishe bar exam tu...
  17. bezos2019

    Bila Katiba Mpya hakuna mwekezaji atakuja kuwekeza Tanzania, Kenya waula

    KwanZa nchi zisizo na demokrasia lakini zina maendeleo ni chache kuliko nchi zisizo na demokrasia na hazina maendeleo. Muhimu zaidi nchi zenye demokrasia na maendeleo ni nyingi kuliko Makundi yote. Mfano bora kabisa ni Korea kaskazini na korea kusini, miaka ya 1950 zilikua Sawa, leo korea kusini...
  18. bezos2019

    Bila Katiba Mpya hakuna mwekezaji atakuja kuwekeza Tanzania, Kenya waula

    Uhuru na kujitegemea, ukiongeza matumiZi ( miradi mikubwa) lazima uongeze mapato, ama ukope.
  19. bezos2019

    Bila Katiba Mpya hakuna mwekezaji atakuja kuwekeza Tanzania, Kenya waula

    Unayesema nchi haina dira hujawahi kuisoma katiba tuliyokua nayo page kumi Za kwanza. Utakuta ndio mnadai katiba mpya huku ya iliyopo hujaisoma. Sasa hiyo mpya ikiwa mbaya zaidi utasemaje, bora ya zamani? Mambo mengine hayana kurudi nyuma.
Back
Top Bottom