Search results

  1. M

    Mfumuko wa vyama vya kisiasa Tanzania.

    Habari zenu wana JF. Napenda kujua kama uwepo wa vyama lukuki vya kisiasa ni suluhisho la migogoro ya makundi ndani ya vyama vya kisiasa hapa nchini au ni uchu wa madaraka katika hawa wanasiasa nakujidai wanawapenda wanachi kumbe wizi mtupu?
  2. M

    Mnaikumbuka hii?

    kila mtu anazamani yake bwana wengine wataulizia noti ya sh.kumi
  3. M

    Tukumbushane katika ahadi zetu za kisiasa.

    Habari zenu wana JF, leo nimeonelea tukumbushane katika ahadi za wanasiasa wetu, ikiwa siku za ahadi feki zimekaibia, moja ya ahadi ninayo ikumbuka mimi ni maisha bora kwa kila Mtanzania, mie naona tuwe makini na hizi ahadi tumuogope Mungu watanzania popote walipo wanajuta kwa kuiiamini hiyo...
  4. M

    Bank yenye riba nafuu

    Habari zenu wanna JF. Nahitaji Kujua benki inayo toa rib a nafuu nahitaji mkopo.
  5. M

    Wanawake wa Kihaya.

    Habari wanna jf. Wiki ilitopita nilienda bukoba kumtembelea jamaa yangu huko bukoba kilichonishangaza ni wanawake WA huko wengi wao wanatafta weupe kwa kujikoboa wary Hawaii ni washamba kumbe wakiwa ugenini wanaonekana kama wajanja .wanaowajua zaidi watueleze.
  6. M

    Napenda kujua hili jambo?

    Hapa Tanzania ni nchi gaani inayoongoza kwa kuwekeza?:A S-confused1:
  7. M

    Mwenye Hotuba nzima ya Prof.Shivji zidi ya Rasimu pale udsm

    habai zenu wanajamii naomba mwenye hotuba ya Prof. Shivji kuhusu rasimu ya katiba mpya iwe kwa maandishi ama yutube yake.
  8. M

    Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

    HAbari zenu wanaJamii. Mwenyetaarifa na bomu lililo lipuka pale maeneo ya seweto arusha atujurishe nimekuta taarifa inaishiria kwenye ITV sasahivi na watu saba wakiwa wamejeruhiwa.
  9. M

    EXCLUSIVE: Download Rasimu ya Kwanza ya Katiba Mpya hapa na toa maoni

    Habari zenu wanajamii, Naomba aliye na soft copy ya rasimu ya katiba mpya aitume hapa kwenye jukwaa ili nami niiipate niweze kuipitia kama wantanzania wengine . Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa msaada huo.Nimeingia kwenye website yao sijaipata. Asanteni.
  10. M

    Ningekuwa Katibu wa Baraza la Mitihani Tanzania ningejiuzulu

    We are always living in politics, baraza hawana cha kusema hapa juu ya hili, sinaimani juu ya hayo yanayosemwa na serikali kama kweli hawa baraza wanaweza chukua hatua za kupandisha grade ingali wanafunzi wakiwawamefeli? hizi ni siasa tu, acha Tanzania iitwe tanzania kisiwa cha amani, watu...
  11. M

    Ningekuwa Katibu wa Baraza la Mitihani Tanzania ningejiuzulu

    Habari zenu wanajamii. Jana serikali ya Tanzania ilitangaza kubatilisha matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2012, binafisi mimi naona kama nimiujiza fulani ambayo inanipa majibu yakuwa watendaji wetu bado hawako makini nakumejaa ubabaishaji. Kikawaida baraza la mitihani hufanya mchakato mzima...
  12. M

    Unamfahamu DCI Manumba wewe?

    du!du! to do you do you, to say you say me.
  13. M

    Unamfahamu DCI Manumba wewe?

    Du,hii kali mwaka to do you you to say you say me.
  14. M

    CCM na harakati za kurejesha umaarufu uliopotea.

    kama bado unaamini kuwa CCM inaamarufu basi wewe pia siyo mchambuzi na mfuatiliaji wa mambo ya siasa hapa Tz
  15. M

    CCM na harakati za kurejesha umaarufu uliopotea.

    Miaka ya hivi karibuni CCM imepoteza mvuto kwa wananchi, hata viongozi wake wanalitambua hilo,hii ni sawa na mtu yeyote anapopoteza umaarufu kuurejesha umaarufu inahitaji muda na kunagharama kubwa, chama hiki sasa kinapiga mbizi kwenye maji mafupi sijui kama kitajiokoa, kauli mbovu za viongozi...
  16. M

    walimu jiji la mwanza wanaonewa

    walimu ambao wanafika jiji kudai madai kama ,pesa ya uhamisho/mapunjo mbalimbali na mengine yanayo fanana na hayo wamekuwa wakisumbuliuwakweli. kikwazo kikubgwa ni wafanyakazi wa pale masijala maana majibu wanayo toa ni faili halionekaniau labda faili linashughulikiwa au wana weza hata...
  17. M

    somo la hisabati ni kikwazo kweli?

    nackitka sana ni napo ona wanafunzi wana feli somo la hisabati ivi tatzo ni kitu gan? au la bda kijana wangu tu ndo ana matatzo / kama kuna mwalimu mzuri
Back
Top Bottom