Mtanganyika1
Member
- Sep 13, 2011
- 56
- 5
walimu ambao wanafika jiji kudai madai kama ,pesa ya uhamisho/mapunjo mbalimbali na mengine yanayo fanana na hayo wamekuwa wakisumbuliuwakweli. kikwazo kikubgwa ni wafanyakazi wa pale masijala maana majibu wanayo toa ni faili halionekaniau labda faili linashughulikiwa au wana weza hata wakachagua ofisi mojawapo na kusingzia et faili liko huko.
watu hao kwa maoni yangu wamechoka kazi na mhusika awafukuze au awabadilishie kazi ,kama ina tokea wana poteza faili la mwalimu sasa kumbu kumbu zake zita toka wapi? matokeo myake mwl huyu kil;a siku ana anza kwenda jiji ili ahakikishe faili lake lina patikana ? jamani ivi ni walimu tu ndo wanafanyiwa hayo au hata idara zingine mambo ni hivyo na nini kifanyike kwa hao watu mishi wa masijara?