Search results

  1. Kraftwerk

    Hii hali kunitokea nikiwa na hasira au kuumizwa. Naomba ushauri juu ya hili

    Habari wana JF. Twende moja kwa moja kwenye mada na kuomba ushauri juu ya hili. Kuna hali inanitokea si ya kawaida nikiw mwnye hasira sna ni mwenye kutetemeka na kuhisi bard haswa. Nilikuja kugundua hii hali nikiwa n miaka 23 baada ya kuachwa na mwnamke niliyempnd na kumthamn kwa kila hali na...
  2. Kraftwerk

    Ex wangu anatamani kuzaa na mimi

    Habari ndugu zangu wana JF. Twende kwenye mada moja kwa moja. Mimi ni kijana wa miaka 25 ni mfanyabiashara. Miaka ya nyuma kwenye harakati za maisha nilijikuta na mauhisiano na dada mmoja ambae yupo mkoa mwengine kikazi. Kiukweli nilikuwa nae ila sikuwa nimempenda ki vileeee zaidi ya mbususu...
  3. Kraftwerk

    Soko la Ilala ni aibu kwa taifa

    Habari wana Jf. Twende moja kwa moja kwenye mada. Wangapi wamefika soko kuu la ilala? Na kama ulibahatika kufika hali yake ikoje? Kiukwel ni aibu kwa taifa letu soko chafu na matope hakuna. Kuna wafanyabiashara wengi hasa mama zetu wapo kwny mazingira si mazur ya kiafya. Na mama yetu kipenz...
  4. Kraftwerk

    Mapenzi yanauma sana kuachwa na uliyempenda kwa dhati

    I hope wote wazima wana JF, Twende moja kwa moja kwenya mada yetu ya leo. Kama hujawah kuumizwa kwenye mapenzi ndugu yangu yaskie tu kwa mwenzako usije kuomba yakukute. Kuachwa na mtu uliempenda kwa dhati maumivu yake hayaelezek sikuwah kufikiria nitakuja kuumia kias hiki. Nina visa viwili...
  5. Kraftwerk

    Naomba ushauri jinsi ya kumuacha huyu Mwanamke mwenye upendo wa dhati

    I hope hamjambo ndugu zangu wote wana JF. Naomba kutanguliza samahani kwa yoyote nitakae mkwanza juu ya hili naomba ushauri wenu nifanye nn? Mnivumilie sio mwandishi mzuri sana. Katika mishe zangu za kila siku nilitokea kuonana na mdada fulani kiukweli mzuri wa kila kitu na mwenye kazi yake na...
  6. Kraftwerk

    Kitu gani kikubwa umewahi kumhonga mwanamke?

    Habari wana JF. I hope wote wazima wa afya. Twende moja kwa moja kwenye mada kumhonga mwanamke ni kitu cha kawaida sana ukiwa umempenda au kumuelewa. Huwezi kuacha kumhonga mwanamke maybe ukiwa hujavutiwa nae. Kuna uzi humu mwana alisema akisikia mwenetu kahonga kagari anahisi kutetemeka...
  7. Kraftwerk

    Usiku wa jana nilitoka room bila kujijua

    _________
  8. Kraftwerk

    Ni sawa kuoa mwanamke aliekuwahi mpenz wako awali?

    Habari wana JF I hope wote wazm wa afya naomb kuomba ushaur kuhusu hii issue. Kuna ndugu yangu aliwahi kuwa n mwanamke wake na walipendana n walifanikiwa kuwa pamoja kwa mda mrefu kidogo more than 4 years kwenye relationship tangu wanasoma. Sababu ya kuachana n huyo she baada ya kumaliza...
  9. Kraftwerk

    Umewahi kubadilisha maisha yako kwa kupitia pesa za betting?

    Habari wana JF. Hivi ni kweli watu unapiga pesa kupitia company za betting au kubashiri kuhusu mpira au baadhi ya michezo mengine. Kikwel sijawh kuon mtu kapata pesa kupitia betting wala sidhn na kuna watu unapiga pesa kwel au ni maisha yao ya kila siku. PESA ZA BETTING YAMEWAHI KUBADILI...
  10. Kraftwerk

    Usipite bila kusoma hili shairi

    FACT!
  11. Kraftwerk

    Furaha ya mwanamke ni kua na mwanamme wa aina gani?

    Ambatana Na mimi. Mpendwa msomaji wa JF Karibu kwenye makala hii tujifunze kwa pamoja,Leo ntazungumzia wanaume makala ijayo ntazungumzia wanawake. Kama mwanaume lazima upate wakati wa kujua unatakiwa kufanya nini kwa ajili ya kulifanya penzi lako lizidi kuchanua. USAFI BINAFSI Asilimia kubwa...
Back
Top Bottom