Search results

  1. Challenger

    Movie (Film) - Daudi Mwangosi

    Wana JF, Baada ya kuugukia kwa muda sasa kifo cha Mwandishi wa Habari - Mwakilishi kwa Kituo cha Television cha Ch.10 - Marehemu Mwangosi. Na pia kwa kwa kina kusoma thread mbali mbali za wadau ndani ya mtandao huu Uliosimama - nimekuja na idea moja ambayo. Nitawaombeni Maoni yenu. Kuna haja...
  2. Challenger

    TZ- Bajeti 2012/2013 Wapi Tumeumizwa

    WanaJF Naipenda nchi yangu na ndio maana nachangia kodi kila kina,japokuwa wajanja wanaifuja na kuyafanya maisha yangu na waTanganyika wenzangukuwa hoi, hiyo sijali kwani naishi kwamatumaini kuwa ipo siku na hasa 2015 nitapata unafuu wakati ukombozi utakuwaumepatikana. Kila kikija kipindi cha...
  3. Challenger

    Gharama za kutoa gari bandarini

    Wana JF Najua kati yetu tumeagiza gari nje na kwa aina moja ama nyingine tumeshiriki au binafsi au kwa kumtumia agent kutoa gari bandarini. Naomba model ya ukokotoaji wa gharama za kutoa gari bandarini. Maana imeshuhudiwa waTanganyika wanashindwa kutoa gari bandarini kwa sababu haku-budget...
  4. Challenger

    Freddy Mayaula Mayoni AFARIKI

    JF members, Ni jambo lakusikitisha kuwa Afrika imempoteza mwanamuziki nguli, Freddy Mayaula Mayoni, tarehe 26 Mei 2010, ni siku ambayo Mayaula amemaliza maisha yake hapa duniani. Mwandishi mzuri wa mashairi ya muziki na pia mpiga gita la kati (rythim), pamoja na mwanasoka aliyewahi...
  5. Challenger

    Tabu Ley Rochereau ALIVE!!

    JF members!! Greetings!! I am posting this info below in response to rumors that surfaced in some media, including among some members in JF, that legendary Tabu Ley Rochereau was critically sick and was rushed to military hospital somewhere (not disclosed) and it was rumored to have gone...
Back
Top Bottom