Search results

  1. Simolunda

    Msaada: Kuandika vision kwenye kampuni

    Miaka mingi nimekuwa na ndoto ya kuwa na kampuni lakini vision ambayo itabeba maono ya kila kilichopo kwenye kampuni nakosa..
  2. Simolunda

    Bodi ya mikopo elim ya juu

    Samahani wana jf kwa yeyote alieskia au tetesi kuhusu wale ndugu zetu waliokosa mkopo mwaka jana na mwaka huu wameomba tena lakin mpaka leo hakijaeleweka wanatoa majibu lini?maana vyuo ndo vishafungua wao wapo kimya tu
  3. Simolunda

    Post za polisi vipi?

    Jaman wana jf nawashukuru sana kwa ushirikiano wenu mzuri.nilikuwa naomba msaada wenu kujua eti nilini watatoa majina ya wanao anza mafunzo ya polisi inakwaje maana nimuda mrefu sana!kwa anayejua naomba msaada wenu
  4. Simolunda

    Natafuta kazi

    Mimi Josephine samson nina certificate ya IT npo mkoa wa dodoma natafuta sehem ya kujishkiza ndan ya mkoa wangu.
  5. Simolunda

    Bodi ya mkopo

    Hivi bodi ya mkopo wa elimu ya juu.vipi kuhusu wale continous students walioomba tena sijasikia kauli yoyote mpaka sasa.na vyuo ndo vinafunguliwa.
  6. Simolunda

    Walimu shule yamsingi

    Jaman naomba mnisaidie nilini watatoa majina ya wanafunzi walio chaguliwa kwenda kusomea ualimu shule ya msingi.muda naona unaenda.msaada wenu ndugu
  7. Simolunda

    Natafuta mchumba

    Awenasifa amemaliza form 4.mtanzania,makazi dar,mkristo.umri asizid miaka 23.amina
  8. Simolunda

    mkopo

    ndugu second round mkopo lini au hamna?????????????????
  9. Simolunda

    Result

    Matokeo jaman ya second round lin mnisaidie ndugu
  10. Simolunda

    Hodiiii ndugu

    Mgeni akikaribishwa vizuri hujsikia furaha,amani,na upendo.nahitaji kupenda kupendwa na kufurahi na ndugu wote.amina
Back
Top Bottom