Search results

  1. EXTERMINATOR

    Naomba kufahamishwa, Inakuwaje hii kitu

    Kwa anayefahamu, hasa wanaofanya kazi kwenye sekta ya mawasiliano naomba kujuzwa kuhusu hili: Hizi namba special mfano 15542, 15656 n.k zinasajiliwa kwa watu binafsi pia na matumizi yake ni sms tu au hata kupiga? Iwapo nahitaji nitaipata kwa kampuni gani ya simu au kila kampuni lina namba zake...
  2. EXTERMINATOR

    Biashara ya mashudu ya alizeti

    Habari wana JF. Naomba kufahamu kwa anayejua matumizi ya mashudu ya alizeti zaidi ya kutengenezachakula cha wanyama. Soko la ujakika la hii bidhaa linapatikana wapi
  3. EXTERMINATOR

    Watanzania Tumemkosea nini Mungu?

    Ni nchi iliyojaaliwa rasilimali nyingi kuliko hata nchi zilizoendelea kama Japani. Kati ya maajabu 7 ya asili Afrika matatu yamo Tz serengeti, ngorongoro, kilimanjaro. Ni nchi ya 3 Afrika kwa uzalishaji dhahabu, tuna kila aina ya madini ikiwemo Tanzanite ambayo ipo Tz pekee kwenye hii...
  4. EXTERMINATOR

    Kabla sijamaliza Wamekata!

    Hawa Startimes vipi? Nimelipia trh 13Jan kufika trh 10Feb Wamekata. Ina maana mwezi umeisha au hesabu zangu hazipandi? Aaagh!
  5. EXTERMINATOR

    Mfumo mpya wa kuongoza nchi

    Kutokana na athari za itikadi za vyama katika kuongoza nchi, napendekeza kufuta mfumo uliopo wa vyama kuongoza dola na badala yake ziundwe taasisi za kutunga sera na mipango ya serikali ambayo wananchi watapewa kuchagua ni ipi inafaa kama ilivyo katika uchaguzi mkuu na taasisi itakayoshinda sera...
  6. EXTERMINATOR

    Toyota Noah Townace inahitajika

    Gari tajwa inahitajika. Weka bei na picha
  7. EXTERMINATOR

    Airtel Money vipi jamani?

    Niliwaamini, nikaweka pesa zangu zote lakini leo nimeumbuka. Wakati leo nahitaji pesa kwa shida zangu tangu asubuhi hakuna huduma na wala taarifa yoyote kwa wateja wenu. Imenilazimu kushinda njaa kutwa na kutembea zaidi ya km 15 kwa kukosa nauli. Ama kweli usiamini sana hii wanayoita pesa...
  8. EXTERMINATOR

    This is Life

    Life is like a GAME we are all playing and everyone is a COACH of him/herself. I first chose to be a TEACHER only to find out I was a COACH with poor techniques. I decided to turn away to become a businessman and I realized I have become one of the best COACHES. What about you?
  9. EXTERMINATOR

    Hii bikra imetokaje?

    Hivi bikra yaweza kutoka bila kuingiliwa kimwili? Great thinkers nisaidieni
  10. EXTERMINATOR

    Interlocking brick making machine - manual

    Nahitaji interlocking brick making machine ya kununua. Kwa yeyote anayefahamu zinapouzwa tafadhali nifahamishe.
Back
Top Bottom