EXTERMINATOR
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 343
- 90
Nahitaji interlocking brick making machine ya kununua. Kwa yeyote anayefahamu zinapouzwa tafadhali nifahamishe.

Nenda chuo kikuu cha Dar es Salaam sehemu ya karakana ijulikanayo kama BICO. Au nenda SIDO makao makuu utapata mashine hiyo auto au manual. Ila bei kwenye bei itakuwa ni zaidi ya laki nne na nusu manual.
| ||||
0654-910708. |

Wadau,Yule mzalishaji wa Kimara namba zake ni 0716492870 na 0754748409 anaitwa FRANK.
Pia yule Mchina contact zake hizi kama simu haifanyi kazi kwakuwa ni ya muda mrefu basi email itafanya:
WAngKILLIN chinashengya@hotmail.com
0654-910708.
Za BICO ni utata na za NHBRA ni utata pia.
Nilinunua ya kwanza NHBRA ikanitesa sana na baadae ikanibidi ninunue nyingine huko BICO zote ni kichaa tu. Nilisikitika kupoteza hela zangu, mara ya tatu nilimpata fundi wa mtaani, nikatengeneza mashine ya tatu nayo haikufaa. Zote nilizitekeleza store na nimekuwa nikipiga hesabu kuziuza kama skrepa / chuma chakavu. Mwishoni niligundua fundi mmoja mwenye workshop yake mitaa ya Kimara huko Dsm ambaye anatengene
za zenye kiwango bora. Nilimuelekeza rafiki mmoja na alinunua hapo naye anaifaidi sasa kama 3yrs zimepita.
Ushauri wangu ni kama unahitaji mashine bora uende kwa huyo fundi wa Kimara. Unaweza kutuma PM kwa details zaidi.
Alternatively kuna mchina alikuwa Millenium Park Ubungo no 15 kama 2yrs ago, nitacheck kama bado nina email yake.
Namna ya tatu ni kagiza toka "Kthai con" toka Thailand. Hawa wana manual na hydraulic machines. Angalia website yao kwa ku-google hilo jina.
Ushauri mwingine ni kuwa Hydrafoam is not better than other types of interlocking bricks/blocks. To continue later.
Wagongee basi like Mkuu ikiwa wamekusaidia!Thats why I like JF. Asante sana Mkuu investa.tz
Za BICO ni utata na za NHBRA ni utata pia.
Jf ni kisima cha elimu. Mkuu kwa heshima zote tafadhali fafanua matatizo uliyokumbana na hizi mashine ili kuwa jenga wenzetu na kwa faida ya ajira na thamani ya ujuzi. Natumai ukieleza mapungufu zake watayafanyia kazi na kufanya maboresho kuliko kuwafaidisha wa China.
Vipi machine za kawaida za kupigia tofali za block za kawaida manual naweza kupata wapi na kwa bei ganiWadau,Yule mzalishaji wa Kimara namba zake ni 0716492870 na 0754748409 anaitwa FRANK. Pia yule Mchina contact zake hizi kama simu haifanyi kazi kwakuwa ni ya muda mrefu basi email itafanya:
WAngKILLIN chinashengya@hotmail.com 0654-910708.
Vipi machine za kawaida za kupigia tofali za block za kawaida manual naweza kupata wapi na kwa bei gani
Jf ni kisima cha elimu. Mkuu kwa heshima zote tafadhali fafanua matatizo uliyokumbana na hizi mashine ili kuwa jenga wenzetu na kwa faida ya ajira na thamani ya ujuzi. Natumai ukieleza mapungufu zake watayafanyia kazi na kufanya maboresho kuliko kuwafaidisha wa China.
Kwanza lazima tukubali teknolojia inaanzia kwa "duplication", kama una duplicate ni vyema ukajitahidi kutotoka kwenye original product unayokopi / duplicate.
Hawa ndugu zangu wamefanya duplication "wakitumia vifaa hafifu" na technolojia duni ya fabrication (poor workmanship).
Kwa kuhakiki nisemalo watembelee wao, chunguza vizuri hizo mashine halafu mtembelee jamaa wa Kimara (Frank) uangalie mashine zake kwa umakini then urudi kwa mchina (bahati nzuri bado yupo na wanazalisha hapa nchini sasa), uchunguze mashine zake na utakuwa na jibu la awali kabla hujanunua.
Kiutendaji;
Kwa leo hizi naona zinatosha.
- Kubwa kuliko yote ni kuzalisha tofali zinazopinda kidogo na kusababisha crak wakati wa kutoa na
- Mashine hazitoi tofali kirahisi (unatumia nguvu tena nyingi kuliko itakiwavyo) hivyo kupunguza uzalishaji.
- Kabla ya kumaliza matofali yako ya majaribio utaona baadhi ya sehemu za mashine (vyuma) vinapinda....
Nenda nyumbu kibaha 8 milioni uwe nazo, hakuna cha south wala kimara wala thailand, ni vyuma halisi havihalibiki na jeereta ya umeme unaweza kuweka unayotaka ww ili kuongeza uzalishaji kwa saa, ukitaka isiyotumia umeme unawaambia tu wanatengeneza, hutajutia uamuzi wako