Search results

  1. Jackson jonh

    Msaada wa nafasi ya kazi

    Nina umri wa miaka 30,niko dar, niliishia form 3, kwa ukosefu wa karo, nahitaji kazi itakayoniwezesha kuendesha maisha Yangu Naweza kusikia kiingereza vizuri na kukiandika japo kuongea kinanisumbua, ila najitahidi kiasi, Naweza kutumia compyuta, Kwa yoyote atakaegusha na hili na kuhitaji...
  2. Jackson jonh

    Mwanamke hataki kufanya mapenzi kisa anaumia, ana tatizo gani?

    Nina mpenzi ambae nimeshafanya naye mapenzi nae zaidi ya mara nne, ila kwa sasa amekuwa hataki kufanya mapenzi nami, akidai kuwa anaumia pindi anapofanya mapenzi, ninapomueleza basi tuachane, hataki anasema ananipenda. Nifanyeje? Ushauri tafadhali
  3. Jackson jonh

    Looking for girlfriend

    Naishi dar ila kwa sasa niko home tarime mara na nitakaa zaidi ya miezi sita.natafuta mpenz wa kunipa faraja kutoka tarime.au hata kama una rafiki yako huku unaweza niunganisha nae
  4. Jackson jonh

    Mahala kilipo kituo cha Premier Betting hapa Mwanza

    Kwa yeyote ajuaye mahala kilipo kituo cha premier betting hapa mwanza.pls msaada
  5. Jackson jonh

    msaada

    jaman naomba niulize nitapataje school selection form four 2011?
  6. Jackson jonh

    kontena zinauzwa

    Wanajamii wenzangu kwa anaehitaji kontena futi 20 na futi 40 zinapatikana na zipo za kutosha kabisaaa kwa anaehitaji ani email kwa anuani hii ya nnala@a1csgroup.co.tz
  7. Jackson jonh

    Contena zinapatikana kwa anaehitaji

    Wana JF wenzangu,kwa yeyote atakaekuwa anahitaji contena tuwasiliane.ndogo dola 2500 na kubwa dola 4500
  8. Jackson jonh

    Tshirt printing

    Tunahitaji oda za tshirt printing kuanzia tshirt 50,mtambo ni wa kisasa na unatoa quality ya maana,mi nipo dar,kwa anaehitaji tunaweza kuwasiliana kwa namba 0652993219.
  9. Jackson jonh

    Nokia E61i_1 inauzwa

    Kwa anaehitaji tuwasiliane kwa namba.0652993219,bei ni 200000,mi niko temeke dar
Back
Top Bottom