Search results

  1. miss msemakweli

    Wapi lilipo baraza la maaskofu?

    msaada jamani nielekezeni wapi lilipo baraza la maaskofu kurasini. mimi natokea Sanza vatikani. nipande magari ya wapi na nishukie wapi? maana naenda kwenye interwiew j3
  2. miss msemakweli

    Wapi lilipo baraza la maaskofu?

    msaada jamani naomba mnielekeze jinsi ya kufika baraza la maaskofu kurasini. mimi natokea Sanza vatikani. nipande magari ya wapi na nishuke kituo gani? maana naenda kwanye interview j3
  3. miss msemakweli

    msichana anatafuta kazi za nyumbani

    msaada jamani kuna msicha ana umri wa miaka 25. elimu darasa la saba. anatafuta kazi za nyumbani (housegirl) . ila isiwe kazi ya kulala kwa mwajiri ni yakwenda asubuhi na kurudi jioni. kuanzia j3 hadi j. mosi. mshahara kuanzia sh 80,000 maelewano yapo. atakayekuwa anamuhitaji awasiliane na mimi...
Back
Top Bottom