Habarini wadau,
Samahani nilikuwa naomba kujua jinsi ya kuwa wakala wa rangi za majumbani, je ni vigezo gani mtu anatakiwa kuwa navyo, na kiasi gani mtu anatakiwa kuwa nayo ili awe wakala wa rangi za majumbani.
Nipo mkoani Dodoma nawasilisha hoja hii kwenu wadau.🙏🙏🙏
Habarin wadau,samahani nilikuwa naomba kujua jinsi yakuwa wakala wa rangi za majumbani,je ni vigezo gani mtu anatakiwa kuwa navyo,na kiasi gani mtu anatakiwa kuwa nayo ili awe wakala wa rangi za majumbani,nipo mkoan dodoma nawasilisha hoja hii kwenu wadau.🙏🙏🙏
Habarini ndugu zangu,sasa nimekuja na idea moja kam mwanzo mlivyonipa ushauri kwa kuwa nina mtaji wa million tatu, nimeona ni bora nispecialize kwenye kufungua duka la vifaa vya umeme pekee sasa nilikuwa naomba je ni vifaa gani natakiwa nianze navyo kuviweka kwa shop yaan n fast moving, pia kwa...
Habarini ndugu zangu,
Sasa nimekuja na idea moja kamu mwanzo mlivyonipa ushauri kwa kuwa nina mtaji wa million tatu, nimeona ni bora nispecialize kwenye kufungua duka la vifaa vya umeme pekee.
Sasa nilikuwa naomba je ni vifaa gani natakiwa nianze navyo kuviweka kwa shop yaani ni fast moving...
Habarini ndugu zangu,
Nilikuwa nina wazo la kutaka kufungua hardware kwa mkoa wa Dodoma, sehemu ya Mkonze, Bje kwa mtaji wa mill 3 unaweza nikafanikisha hii biashara maan nilikuw nataka nispecialize kwenye hivi vitu kimoja wapo ndio nianze nacho
(i)Cement, misumari, binding wire, kench wire...
Habarini ndugu zangu,
Nilikuwa nina wazo la kutaka kufungua hardware kwa mkoa wa Dodoma, sehemu ya mkonze,Bje kwa mtaji wa mill 3 unaweza nikafanikisha hii biashara maan nilikuw nataka nispecialize kwenye hivi vitu kimoja wapo ndio nianze nacho
(i)Cement, misumari, binding wire, kench wire...
Tatizo bajet niliyokuw nayo kiongoz n ndogo ndio maan nikaona n bora nipige veta level one had two nahamin nitakuw na msingi wa civil pmj n uchoraji hilo ndio lengo langu kiongoz
Qualification zitaniondoa mchezon kiongoz maana nilisoma arts,pia kweny issue y ada naon kam nichangamoto maana kuna kaela nimekapata kam laki sita nimeona kweny kusom veta ni cheap kidogo maan ada yao n elfu 60 kwa mwaka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.