Search results

  1. C

    Kero ya usafiri wa daladala Mloganzila

    Habarini wadau wote wa humu. Baada ya kusubiri kwa muda mrefu ili angalau wahusika waone hili tatizo,nimeona ni bora niwape taarifa maana naona bado watu wanaumia. Kabla ya kuzuiliwa Daladala kutoka nje ya mkoa wa Dsm kuingia mjini kati kulikuwa hakuna tatizo la kutoka na Kurudi...
  2. C

    Nisaidie Mawazo yako katika gari hili

    Habarini wajameni, Baada ya kuhangaika na bei za Noah show rooms hatimaye nimenyoosha mikono.maana bei imepanda sana.Nimefanikiwa kukutana na gari hii BF na muonekano wake ni kama Noah ila gharama yake ya manunuzi ni ndogo kidogo ukilinganisha na Noah..hivyo naomba kwa anayezifahamu gari hizi...
  3. C

    Naomba Maelekezo namna ya kununua kontena tupu

    Habarini wadau, Ninahitaji kununua kontena la futi 20 hivi karibuni.ila sijui namna bora ya manunuzi ili niwe salama.maana nasikia kontena huwa linakuwa na Document na sijawahi kuiona hiyo Document.Naomba kujuzwa namna bora ya manunuzi ili nisijepigwa ndugu zanguni. Nawasilisha.
  4. C

    Shimo la choo la kisasa

    Habari za majukumu wakuu, Katika pitapita zangu leo mtaani nimekutana na mafundi wakichimba shimo jipya la choo na kulifukia lile la zamani ambalo wamiliki wanadai limekuwa likijaa mara kwa mara..kilichonishangazampaka nimeamua kuuliza hapa,ni size na mtindo wanaotumia kujenga shimo hilo...
  5. C

    Ukimwi: Mbeki atuhumiwa kupotosha umma

    Magazeti na vyombo vya habari kwa jumla nchini Afrika Kusini leo vimekuwa vikijadili sera ya ukimwi ya rais wa zamani wa nchi hiyo Thabo Mbeki. Swala hilo limeibuka upya baada ya Mbeki kujaribu kujieleza kupitia kwa blogu yake kuwa hakuwahi kukataa kuwa virusi vya HIV ndivyo vinavyosababisha...
  6. C

    Msaada kuhusu tangazo la simu feki kufungiwa.

    Habari wana jamvi.. Leo Mamlaka ya mawasiliano (TCRA)imetangaza kuzima au kutoziwezesha simu ambazo hazina ubora kufanya kazi hapa tanzania,na zoezi hilo litaanza baada ya miezi sita kuanzia leo..swali langu ni je?hizi tecno zetu zitasalimika?
  7. C

    swali kuhusu dish za satelite tv

    Habari zenu wakuu Wakati ule wa analog ilikuwa kama huna hela ya kununua antena,waweza tumia hata tubelight mbovu,rim ya baiskeli,sinia la alumminium na ukaweza kutizama chanels mbalimbali. Lakini huwa najiuliza...mbona ukiwa na lnb huwezi kufunga kwenye nguzo na kuiweka juu na ikakamata...
  8. C

    Tecno H6 mpya lakini haisomi lain

    Habari wakuu, Jana nimenunua simu tajwa hapo juu, wakaniambia nisiitumie mpaka nitakapoichaji maana ni mpya. Baada ya kuichaji nikaingiza simcard zote mbili, lakini cha ajabu mpaka ninapoandika hivi sasa hakuna simcard yeyote iliyosoma. Tafadhali kwa yeyote anayejua ufumbuzi wa hili kabla...
  9. C

    Nyumba inapangishwa kibamba hospital

    Habari wakuu. Nyumba ina sebule na chumba kimoja chenye choo ndani. Ina luku ya kujitegemea. Maji yapo ndani(tank la kuhifadhia endapo yakikatika lipo lt 5000) Nyumba ni mpya haijawahi pangishwa. Iko ndani ya uzio. Kodi ni laki moja kwa mwezi. Utalipa miezi sita kila wakati wa mkataba...
  10. C

    Msaada jamani tatizo la system UI kwenye tecno m3

    Habari wadau, Nimeroot simu yangu tecno m3 nikaondoa battery alert, baada ya kuiondoa. simu yangu ikifikia 15% ya battery siwezi kutumia tena huwa screen inakuwa nyeusi na kuandika "anfortunatly system UI has stoped". Msaada jamani nataka kuiondoa hiyo message battery ikaribiapo kuisha ili...
  11. C

    Ninawasiwasi na mtindo mpya wa uunganishaji umeme wanaotumia TANESCO

    Hivi ni sahihi kuziunganisha pamoja zile waya zinazotoka kwenye nguzo kwenda kwenye nyumba?maana naona siku hizi hazitenganishwi.
  12. C

    Nauza kiboko water tank lt 5000 bei ya kutupa.

    Tank limeshauzwa jamani
  13. C

    home theatre in the box ,inahitajika

    Habarini jamani, Nahitaji sumsung home theatre watt 1000,yenye bluetooth.mpya.
  14. C

    tecno m3 iko sokoni

    Ina hali nzuri,bei 100000. Mawasiliano 0685620181
  15. C

    Tigo ni shida!

    Sina haja na salaam,(nina hasira).hivi nyie tigo...wenzenu wanakazana kuongeza vifurushi nyie mnapunguza,sasa kabla sijawahama rudisheni kile kifurushi cha kupiga mitandao yote cha dk 12 fasta.
  16. C

    nyumba inapangishwa kibamba hospital.

    Sebule na masterbedroom,mita mia mbili kutoka barabara morogoro road,umeme na maji vipo.Bei ni 100000 kwa mwezi
  17. C

    hitaji la simu

    huawei y 300 inahitajika haraka ofa ni tsh 200000 niko dsm
  18. C

    tecno l3 inauzwa

    Simu bado mpya inakila kitu chake bei tsh 150000.kwa manunuzi 0712458872 (muuzaji)
  19. C

    fremu ya biashara inahitajika

    Habarini wakuu, fremu ya biashara ya duka inahitajika maeneo ya ubungo au kimara.(eneo na bei vitajieleza vyenyewe)
  20. C

    vyumba vinapangishwa

    Chumba kimoja na sebule pamoja na maliwato ndani umeme na maji vipo.kibamba dar es salaam kodi laki moja kwa mwezi.karibuni
Back
Top Bottom