Search results

  1. mwambyetete

    Naomba msaada kwa mafundi wa Air condition za magari

    Habar wakuu mbali mbali,naomba msaada kwa mafundi wa Air condition za magari. Jana wakati naendesha gar nilihisi kama ndani ya gari nnapowasha AC hakupatikan ubarid wa kutosha kama niliouzoea na nilipokuwa nikiigusa ile pipe inayopeleka ac ndan ya gari inakuwa ya moto hivo nikajua moja kwa moja...
  2. mwambyetete

    Naomba kufahamishwa fundi mzuri kwa jiji la Mbeya, Gari yangu ina tatizo la kugonga ninapofunga breki

    Habari wapendwa, naomba msaada wa kupata fundi mzuri au ushauri juu ya tatizo linalonikabili kwenye gari. Natumia gari aina ya toyota premio engine 1NZ,gari yangu ina tatizo la kugonga hasa ninapofunga breki yaani ninapokaribia kusimama kabisa au ninapoiondoa iwapo ilisimama kabisa!! Mlio...
  3. mwambyetete

    Muuzaji wa sprear parts za magari

    Habari wapendwa,,nakumbuka niliwahi kuona uzi humu jamaa alipost juu ya kuuza spear za magar ambapo watu walikuwa wakimuuliza maswali na anawajibu vizur kwa kuwatajia bei ya spear wanazozitaka Nimejaribu kuutafuta huo uzi sijauona,,tafadhali kama kuna mtu anaukumbuka au ana mawasiliano na huyo...
  4. mwambyetete

    Naomba kujua kamuni nzuri kwa Oil ya gear na engine

    Habari wakubwa,,mm n mmiliki mgen wa gar naomba kujua ni kampuni ipi nzur kwa gear na engine ambapo gari ni automatic Aina ya gar ni toyota premio, wapo walioniambia inahitajika type iv,naipata wap na mimi niko mbeya Pia kati ya oili za Total na castrol zipi nzur na inafaa nitumie kwa km ngap...
  5. mwambyetete

    Ndoa inanishinda, naomba mnishauri kisheria

    Habari za Jumapili wapendwa Hivi kunapotokea mgogoro baina ya wanandoa ambapo katika hiyo migogoro mke hapigwi wala hajatishiwa maisha,,baba mzaz wa mwanamke anaruhusiwa kwa utaratibu wa sheria ipi kunipeleka mahakaman mimi mume? Pili baba mkwe anapomuhitaji binti yao lakin hasemi waz lengo wa...
  6. mwambyetete

    Mguu kutetemeka unapopunguza speed

    Hello ndugunina tatizo nahitaji mnisaidie, Nna Gari yangu Toyota premio ambapo imekuwa ikitetemesha mguu unapopunguza mwendo hasa ukiwa kuanzia speed 60 Tatizo hili limedumu kwa miez miwili sasa. Awali fund aliikagua ambapo alinishaur kubadili habu zote za mbele na kuzichonga upya router disk...
  7. mwambyetete

    Nahitaji sports Ream used size 195/14 R 70

    Habar za jumatatu ya kwanza ya mwezi September!! Naamin tu wazima! Kama somo linavosimeka hapo juu,,nahitaji sports ream za premio new model!! Nitafurah kama nitazipata zinazokuja na Magar ama ambazo n used toka Japan!! Sihitaji hiz za kariakoo wanazodai ni za udongo sijui zinapinda au...
  8. mwambyetete

    Sport reams kwa premio

    Hello wakuu,,lengo c kutangaza kwa namiliki gari Bali n kagari ka kupewa na shemeji! Hivo bas natafuta sport reams imara za saiz 195/70 R 14!! Pia nitafurah kama nitapata zile ambazo n used Japan kwa maana zinazokuja na Magar wengine wanazitoa. Sihitaji ream hiz zinazopinda ama kukatika mfano...
Back
Top Bottom