Search results

  1. Jamsuldash

    Mafundi wa dar vs Mafundi wa mikoani

    [emoji23] [emoji23]
  2. Jamsuldash

    One incredible vs stereo

    "Ningependa niwe yule unayemtaka, unayempenda, unayemjua, yule aliyekuondoa mashaka aliyekuacha alipozingua, niwe dira yako unapotaka safiri kifikra, nitakupeleka mpaka mahaka hujawahi fika, hujawahi shikwa ka guitar la kispanyora nikapiga code itoe ala haijawah sikika" Moko wa miujiza ni habari...
  3. Jamsuldash

    Kwanini Comedians wa MIZENGWE wanapotezewa sana?

    Sasa sijui unataka tuambia huyo Kevin Hart huwa anafanya vitendo bila maneno kwenye stand up comedy. Nahisi hujui unachokizungumzia.
  4. Jamsuldash

    Vodacom Tanzania, haya yatawaondoa sokoni

    Endapo Vodacom watakurekebishia hayo matatizo yako mawili uliyoanza kuyataja utaendelea kuwa mteja wao? au hii ndio promo kwa upande wa pili unakosubiri?
  5. Jamsuldash

    Mazoezi tu

    hawa ndio wanakuja kuwa vijeba wanaokuja sumbua huku uswahilini....
  6. Jamsuldash

    Natafuta mwanamke mwenye makalio makubwa original tuoane

    masharti ya mganga hayo si buree
  7. Jamsuldash

    Msaada wako ni muhimu sana. . .

    Kwenye game la FIFA 2014 nikitaka Suarez amng'ate mchezaji mwenzake nabonyeza buttorn ipi?
  8. Jamsuldash

    Nani mwenye akili nyingi?

    Mzungu gani anaongea kibongo!!! Au alikuwa Mhaya.:A S wink: kumbe wahaya ndio wanaongea kibongo. . .haya nitumie namba yako nikutumie jero yako.
  9. Jamsuldash

    Nani mwenye akili nyingi?

    Baada ya kubishana kwa muda mrefu, mbongo na mzungu wakafikia hapa Mzungu: nakuuliza swali ukikosa unanipa sh 500 na wewe utauliza nikikosa nakupa sh 10,000. Mbongo: poa anza mambo. Mzungu: ni mnyama gani anaweza kaa muda mrefu bila kula chakula na anaweza fikisha muda gani katika hali...
  10. Jamsuldash

    Huyu ndio mbongo sasa!

    Ukuta wa ikulu uliharibika, wakandarasi waliitwa na kuambiwa atakayejenga kwa ubora mkubwa ila kwa bei nafuu ndiye atakayepewa kazi. Mjerumani: nitajenga kwa mil 90 yaani 40 ya vifaa, 40 ya wafanyakazi na 10 ndio faida yangu. Mchina: nitajenga kwa mil 70 yaani 30 ya vifaa, 30 ya wafanyakazi na...
  11. Jamsuldash

    Msaada: kutunza data ndani ya flash drive/memory card

    Nina memory card ambayo ukiiweka kwenye simu ama computer inahitaji niiformat kabla sijaanza itumia. Nami nina vitu ambavyo ninahitaji nivitoe kabla sijaiformat. Naombeni msaada wa jinsi ya kutunza na kuzipata data zangu. . .
  12. Jamsuldash

    Niambie technology gani?

    kuna hii kitu ya chuma ulete na kutumia msukule kama robot
  13. Jamsuldash

    Ukurutu au fangasi

    Hicho ni kitu cha PE. . .
  14. Jamsuldash

    Jamani kupigana na polisi sio poa...mwenzenu yamemkuta!

    Ila hicho kitasa kimeingia kwelikwel na sijui kama huyo askari hakuachia kitu cha yusuuuph. . .
  15. Jamsuldash

    Bujibuji kuza hivi vitu, halafu wa baba watujuze wameona nini?

    Ya kwanza hyo ni picha ya ambayo ukiangalia vizuri unaona kama mtu kainua miguu juu na hyo katikati ni kufuli. . . Na ukiangalia tena kwa makini unaona taa kama weng wasemavyo
  16. Jamsuldash

    mchungaji na mlevi

    mchungaji : kwa tabia yako ya ulevi hautafika mbinguni. Mlevi : kumbe hili gari linaenda mbinguni!! Dereva simamisha gari nishuke mi siendi huko.
  17. Jamsuldash

    Duh! Kwetu bomba.

    Hayo ndyo masharti ya utajir wa mganga wa kienyeji hakuna kukaa kwny numba iliyoezekwa bati wala kuchapiwa cement. . .
Back
Top Bottom